Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,110
HahaaaAhaaaa, nimesahau bana kama hakuna kupanda madaraja awamu hii
Ulisha staafu ulipo oa
Kamanda
HahaaaAhaaaa, nimesahau bana kama hakuna kupanda madaraja awamu hii
Kitrump usiku huu dikishenari iko mbali bana...[emoji12] [emoji12]
Sijambo hofu kwako
Nikajua kilughaNilimaanisha tena bhana[emoji23][emoji23]
Kumbe huko mbali. No wonder sijui hilo chocho[emoji23] [emoji23] [emoji23] irish pub haile selasie road jaman
[emoji23][emoji23][emoji23]haya bhanaNikajua kilugha
Twende kwanza home kabla huja lala bas[emoji23][emoji23][emoji23]haya bhana
Endelea kulinda acha nikalale mie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa
Ulisha staafu ulipo oa
Kamanda
Ulale salama[emoji28][emoji28][emoji28] Pole sana . Wacha nilale usingizi hapa barazani kwangu. Bai bai fo nau.
Hahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pensheni sijapta mkuu bora niendelee na job
Nafurahi kusikia hivyoMe mzima sana
Sawa, usisahau kuniota[emoji23][emoji23][emoji23]haya bhana
Endelea kulinda acha nikalale mie
Sawa, usisahau kuniota
Mimi nitaota moto
Mbona ananipiga dana dana sana kiasi hicho....Hahahah
Mnadhimu mkuu wa Jeshi
Major General Miller ana andaa pensheni yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi naogopa kuota vya watu bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntaongea naye asee naye ana ubabaishaji flan hiviMbona ananipiga dana dana sana kiasi hicho....
Njaa haivumiliki aisee kuweni na hurumaNtaongea naye asee naye ana ubabaishaji flan hivi
Ni wa kumvumilia[emoji23]
HahahahaNjaa haivumiliki aisee kuweni na huruma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha
Aaah ila so kuna ulizo jiwekeza mwenyewe jenerali?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nisiposema njaa hata kama silali njaa unadhani nitalipwa mapema