DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Nooooo mpenz. Nimetakaa tu kuona clear view ya kile alichotuma before bby......Sasa mbona unataka kuona wanawake wengine bby?
Nooooo mpenz. Nimetakaa tu kuona clear view ya kile alichotuma before bby......Sasa mbona unataka kuona wanawake wengine bby?
Mpo woteee [emoji30]Niko hangover mama. Wewe uko upande upi??
[emoji15][emoji15][emoji15]
Nipo hapa odovans mama bt nasepa muda sio mrefuNiko hangover mama. Wewe uko upande upi??
[emoji23][emoji23] boss hizi laana alizopewa shem sio poaNaanzaje kukuchoka mpenz wangu uliyelaaniwa kwa kujaliwa uzuri.
Laana aliyopewa halafu ukakutana nae ukikohoa tuu jela inakuhusu [emoji23][emoji23][emoji23] boss hizi laana alizopewa shem sio poa
Chezeaa ww utajijutaa kwenye ubao wa matangazo[emoji23]Safi [emoji3][emoji3]
Hii Chimurenga uprisingHahahaha naona maji maji war ,mziguaa leo upo kona gani
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee! sio siri kakamilika hapo ni wewe tu kutulizanaLaana aliyopewa halafu ukakutana nae ukikohoa tuu jela inakuhusu [emoji23]
Sawa bbyNooooo mpenz. Nimetakaa tu kuona clear view ya kile alichotuma before bby......
Takin me back 4m3 them old fuckn days.....[emoji17] [emoji17]Hii Chimurenga uprising
Kwa kwelii[emoji23][emoji23][emoji23] aisee! sio siri kakamilika hapo ni wewe tu kutulizana
Ndo wapi huko tena?? Nazeeka jamaniNipo hapa odovans mama bt nasepa muda sio mrefu
hahaha ataniangusha akishindwa kuongea huko kwenye gari...Episode 6
akili ikahama kadiri nilivo kuwa niki muangalia Cynthia. Basi kama baada ya dakika Tano nikawa kama nashtuliwa na mtu
"TJ, we TJ si ujibu swali?"
Nika sema "aah ndio ni kweli ni kweli"
basi kina Chris waka cheeeka kweli kweli kama wako kwenye show ya komedi, kwa kuwa akili haikuwa pale skujua mpaka leo hivi siku ile niliulizwa swali gani. Chris akasema jaman TJ kachoka ngoja twende home aka pumzike kina Maggie wakatuaga wakasema kwa heri, lakini wakatuambia tuwachukua Nina na Cynthia kwani na wao wata pita Mwenge kama sisi kwa hiyo tuta waacha hapo.
Moyo wangu kalipuka kwa furaha kwa kuwa nikajua nitapata chance sasa ya kuongea na Cynthia...
View attachment 780960
Essay ulikuwa una score ngapi aiseeh?Takin me back 4m3 them old fuckn days.....[emoji17] [emoji17]
AiseeeChezeaa ww utajijutaa kwenye ubao wa matangazo[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] irish pub haile selasie road jamanNdo wapi huko tena?? Nazeeka jamani
Hahahahahahaha ataniangusha akishindwa kuongea huko kwenye gari...
Marks kubwa ambayo nshawah ipata ilikuwa 80 baada ya hapo nikawa nacheza na za chini ya hapo ndogo kabisa 40[emoji23] [emoji23] [emoji23]Essay ulikuwa una score ngapi aiseeh?