dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Pole aiseepopo pumzi inakata..
Pole aiseepopo pumzi inakata..
Habari za Daslam mkuu.Ubachela kazi kweli kweli View attachment 772951
Karibu mzeeHapa mbona leo kimya?!
Thanks mkuu.Karibu mzee
Nzuri za huko uliko?Habari za Daslam mkuu.
Njema.Nzuri za huko uliko?
Wakina nani?Mida ya wenyenayo hii.
Wengi ila mimi nakumbuka nikiwa chuo ndio mida ya msuli.Wakina nani?
Toka saa 8 usingizi umegomaWengi ila mimi nakumbuka nikiwa chuo ndio mida ya msuli.
Vipi mbona hujalala?
Pole hata miyee Usingizi hakuna umepotea kabisaToka saa 8 usingizi umegoma
Yaani naudhika ikifika saa 11 ndiyo unakuta usingizi unakuja wakati ndiyo mida ya kuamka.Pole hata miyee Usingizi hakuna umepotea kabisa
inabidi usinzie Upunguze Kidg kweny GariYaani naudhika ikifika saa 11 ndiyo unakuta unakuja wakati ndiyo mida ya kuamka.
Kumekuchaaaaa....Sahizi tena nadhani ni usiku wa matisa aisee sio tena manane wandugu.
Kumekuchaaaaaaa. Eeh.
Kumekuchaaaaa....