Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,096
ndo narudi apa nmetoka kukimbiaNjoo tufanye mazoezi
ndo narudi apa nmetoka kukimbiaNjoo tufanye mazoezi
Tunamalizia jogging 21 kmDk 8 zimebaki kabla ya kufunga geti. Nawatakia siku njema yenye baraka tele
Nimefika nasubiri tu muda muafakambona sikuon sasa ...njoo funga geti
Safi sana,we unanifaando narudi apa nmetoka kukimbia
na kwako piaaaDk 8 zimebaki kabla ya kufunga geti. Nawatakia siku njema yenye baraka tele
Hongera kiongozi km 21 si mchezoTunamalizia jogging 21 km
Karibu mkuuHongera kiongozi km 21 si mchezo
Karibu mkuu
Safi sio mbayaAsante kiongozi! Zangu mwisho 5 [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
leo hamna kwenda kazini....anashinda na mm hapa.muamshe mumu aende kazini
mbona mapema[emoji448][emoji448][emoji357][emoji1009][emoji357][emoji357][emoji357][emoji357][emoji357] geti limefungwa tukutane kesho
Saa 12 ndio muda muafaka kiongozi au nimechemsha Leo?
umechemsha chief, kwani si ni bado 12 au imepita tayari?Saa 12 ndio muda muafaka kiongozi au nimechemsha Leo?