Dereva Bodaboda Mstaarabu
Member
- May 3, 2018
- 19
- 32
HahahaHahahaaa hapa makao makuu ya Tz,, yaani Jiji la Dodoma ni saa 4:49 AM
HahahaHahahaaa hapa makao makuu ya Tz,, yaani Jiji la Dodoma ni saa 4:49 AM
braza ulifichwa tena?Inna
Mi nipo kitandani namwangalia mtoto asiamke akalia
ninaham kichizi kila nikimuombaMi nipo kitandani namwangalia mtoto asiamke akalia
ninaham kichizi kila nikimuomba
game anadai amechoka na kusema
anaitaji kupumzika awai kazini
sijalala hadi sasa ivi namvizia akishtuka tu! natia kitu
sikuhiz umekua kuku sio popo tena mana sio kwa kulala huko mapemaInna
kuguna huko vipiiiMmh!
mlinzi wa zamu nipooKuna yeyote hapa lindoni!?
Baridisikuhiz umekua kuku sio popo tena mana sio kwa kulala huko mapema
Tupo pamojamlinzi wa zamu nipoo
Hahahasikuhiz umekua kuku sio popo tena mana sio kwa kulala huko mapema
Ishu ya wachezaji nilikuwa najua najib jukwaa jinginekukiwa na mchezaji mmoja haiitwi timu tena hiyo braza,
kwema kabisa ndugu yangu...habari ya uzima wako.