Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Tupo,karibu sanaWenye nyumba mpo
Tupo,karibu sanaWenye nyumba mpo
Asanteh..Tupo,karibu sana
Nina chakula cha usiku njoo geto tule wotePopooz leo mnatafuta wapi chakula![]()
Washalala. Hata mie Naenda kulala now. Usiku mwema everyone in hereAsanteh..
Wengine wapo wapi tena,. maana pameiulia
UsilaleWashalala. Hata mie Naenda kulala now. Usiku mwema everyone in here
tanipa ela??Usilale
Geti linafungwa saa kumiNgoja nifunge mageti
Maserati, siku mingi sanatanipa ela??
Etiii eeeh?!Maserati, siku mingi sana
eeh, nimekuona hapa nikaona nikujulie hali, nina usingiz hapa nadonoa mwanzo mwsho, mwishowe nitadumbukia kwenye simuEtiii eeeh?!
wacha nilale, usiku mwemaMmmmmh ! Maserati mbona mapema hvo au ndio unataka wanaochepuka wawahi kurudi nyumbanGeti linafungwa saa kumi






