JamiiForums Usiku wa manane
Waiting! Waiting! [HASHTAG]#KWANGWARU[/HASHTAG] OFFICIAL VIDEO....
Harmonize ft Diamond
 
Nandi kajpulizia upupu,lakn mm huwa nawashangaa Sana wapenz ambao wapo faragha huwa muda wa kushka simu na kuaanza kupga pcha mixa video wanaupata wap?
Hua wanaona raha sana. (Siwasemi vibaya) ila wanawake gua wanfurahi sanaa sanaaa kupigwa picha sijui kwanini. Pengine western technology imetuathiri. Mnoo. Na Umaarufu...
 
Hua wanaona raha sana. (Siwasemi vibaya) ila wanawake gua wanfurahi sanaa sanaaa kupigwa picha sijui kwanini. Pengine western technology imetuathiri. Mnoo. Na Umaarufu...
Ni tatzo ukiona stail hzo kwa dem ujue hajiamin kbxa, mtu kama Nandi kapga yy ile video na ishu inakuja kwann apost billnenga? halaf anadai ni ya 2016 ila ngoja tuone mzgo huo atauweza maana hpa kuna ktu knaendelea, mm aisee nkiona tupo ndan halaf sster unashonoka na sim utashangaa nmekuacha mwenyew
 
Binadamuu
image_search_1523548395969.jpg
 
Back
Top Bottom