Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,582
100% perfect. Niambie mutoto ya kufungiwa ndaniKk mambooo
100% perfect. Niambie mutoto ya kufungiwa ndaniKk mambooo
Naomba unikumbushe,nakudai sh.ngapi vile? Maana haiwezekani uje humu kwa kuvizia siku ambazo sipo na bado unachungulia tu na kuondoka mbio mbio [emoji12]1:46
[emoji125] [emoji125]
Shost, bado uko macho uje huku nikupe umbea wa Iceman 3D ila uwe na kifua....sitaki kesi mie [emoji12]Mambo yangu mazuri jirani, upo kweli?
Kwanini tunapishana kiasi hicho
jje's na carbanininini sijui, hawajambo?Itakuwa ule ubusy Wa kitambo kile umenirudia nawe pia hivyo hivyo. Ila nafurahi kukuona jirani
Khee! Kumbe Demiss mfungwa siku hizi? Ndio maaana wanasema ndoa ni pingu za maisha......sasa nimeelewa100% perfect. Niambie mutoto ya kufungiwa ndani
Tungoje nini mbona masaa yanazidi kuyoyoma tu hatuoni kinachoendelea?Ngojeni kwanza
Kabla ya kuondoka naomba mashairi ya wimbo wa J Nature, 'Inaniuma sana'Usjaliii
[emoji1] we cant expect everyone to be here everyday.
Mi mwenyewe nazuga zuga tu humu
Heheheeee [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Shost, bado uko macho uje huku nikupe umbea wa Iceman 3D ila uwe na kifua....sitaki kesi mie [emoji12]
Nashukuru kwa kunithibitishia kuwa huna kifua, nilikuwa nakutania tu....sina lolote mwanakwetuHeheheeee [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Salama ney,kwema.?Poa dear za Kwako?
Kulikoni hyo avatar umei albinismKhee! Kumbe Demiss mfungwa siku hizi? Ndio maaana wanasema ndoa ni pingu za maisha......sasa nimeelewa
Saint Ivuga hii vepeeee?Mbona mi niko nae mwaka wa pili huu mama. Na hapa nina ka Ivugajr kwa tumbo yangu
Akuu tushakua sie, tunaogopa tukilala tutazeeka bure [emoji12]Mlale mkue
Wakwetuu usinifanyie hivyo mpenzi, nakuahidi sitofungua mdomo wangu. Niambie tuuNashukuru kwa kunithibitishia kuwa huna kifua, nilikuwa nakutania tu....sina lolote mwanakwetu
@jje's mzima Ila haka kaandunje carbamazepine sijajua kamejificha wapi nakatafutajje's na carbanininini sijui, hawajambo?
Umenifanya nicheke kwa nguvu[emoji23] [emoji23] [emoji23] nataka muwe mnaniona vizuriKulikoni hyo avatar umei albinism
Hatutaki tukueMlale mkue
Msalimie sana, jje's@jje's mzima Ila haka kaandunje carbamazepine sijajua kamejificha wapi nakatafuta
Hata nikizima taa nakuona hata nikifumba macho nakuona Thad [emoji23]Umenifanya nicheke kwa nguvu[emoji23] [emoji23] [emoji23] nataka muwe mnaniona vizuri