Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,582
Kaká Leo kimya kimya tupo pamoja kamanda Kuna series niliziifadhi sasa ile ban imenisababisha kumalizia hizi episode [emoji23]Yeah
Watu wanapumzika
Kaká Leo kimya kimya tupo pamoja kamanda Kuna series niliziifadhi sasa ile ban imenisababisha kumalizia hizi episode [emoji23]Yeah
Watu wanapumzika
Kaká Leo kimya kimya tupo pamoja kamanda Kuna series niliziifadhi sasa ile ban imenisababisha kumalizia hizi episode [emoji23]
Gospel hatari Sana huyo blaza endelea kutafakari nyimboAmenifanyia amani
HahahahaGospel hatari Sana huyo blaza endelea kutafakari nyimbo
Nikutakie makaribisho memaHahahaha
Sawa mimi nendelea kumkaribia Mungu
Kesho
Hee kungoja tena utakutwa na wenyewe kumekuchaNgojeni kwanza
Ngoja ngoja huumiza matumbo mkuuWakati nafungua hii thread naona bibie anajigeuza geuza tu hapa kitandani, nitarudi baadae.
Mbona mi niko nae mwaka wa pili huu mama. Na hapa nina ka Ivugajr kwa tumbo yanguHukoo sikuruhusu. Ana wake wawili wote mawifi zangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anajuana na wake zake ye mwenyewe na story za urusi
Poa dear za Kwako?Mambo ney?
Mambo yangu mazuri jirani, upo kweli?Jirani kipenzi mambo
Itakuwa ule ubusy Wa kitambo kile umenirudia nawe pia hivyo hivyo. Ila nafurahi kukuona jiraniMambo yangu mazuri jirani, upo kweli?
Kwanini tunapishana kiasi hicho
Kk mamboooItakuwa ule ubusy Wa kitambo kile umenirudia nawe pia hivyo hivyo. Ila nafurahi kukuona jirani