JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Jirani hata kutunza siri huwezi, saivi nimepanda cheo nimekua Invisible Bundi[emoji40]
Niko pamoja nanyi ila hamnioni sababu hamtumii macho ya rohoni[emoji12]
Nakusalimu katika jina la usiku mnene na Bundi wake[emoji125] [emoji125]
Haya, ila nakupa kazi ya kuangalia wanaofungua lindo kabla ya muda kufika
 
Back
Top Bottom