whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,570
- 4,450
Nirushie huku chumbani
Kitavunjika Mwifwa wangu. Kiko too fragile just like my heart

Nirushie huku chumbani

HahahaaaaaaIla hii app mpya ya jf ngumuu kichiz na notifications haziji
Yaan jf wamekuwa kama serikali ya awamu ya 5 tuu
Hahahahahahaha icho kibaridi veepyNi razima ukweri usemwe, msema kweri mpenzi wa Mungu (in JPM voice)
Mimi niko mwenyewe na nnaumwa na kuna kijibaridi flan hivi kina nikumbusha kuwa nko mwenyewe![]()
Ila hii app mpya ya jf ngumuu kichiz na notifications haziji
Yaan jf wamekuwa kama serikali ya awamu ya 5 tuu

Ni razima ukweri usemwe, msema kweri mpenzi wa Mungu (in JPM voice)
Mimi niko mwenyewe na nnaumwa na kuna kijibaridi flan hivi kina nikumbusha kuwa nko mwenyewe![]()




Jibu zuri sanaHapana sijapokea rushwa nimepokea pesa tu
EeehHahahaaaaaa
Mimi nazipata lakini zipo kwa mtindo mbaya sana, inahitaji ikiingia uifungue hapo hapo maana ikija nyingine inaifunika iliyotangulia.
Usingiz umekupend zAidiPopoz na mabundi wote muwe na usiku mwema![]()
![]()
Na wewe piaPopoz na mabundi wote muwe na usiku mwema![]()
![]()
PoleeMimi nipo zangu lindoni hapa
Pole sana mgonjwa
Kisukume taratibu kama alivyosukumiziwa bwana yuleKitavunjika Mwifwa wangu. Kiko too fragile just like my heart![]()
Wewe notifications zako zinaenda kwa yule aliyekuweka label ya possession...![]()

Udikteta mkubwa sana huuEeeh
Wakat zaman zilikuwa unazikuta zoote zimejipanga.
Yaan mtu aki ku quote ikatokea hata mtu mwengine ka like tuu. Basi huji kuipata hiyo notification.
Hui ni udikteta
Ila braza wewe si unafahamiana naoUdikteta mkubwa sana huu
Tushatuoa maoni na malalamiko mengi sana kuanzia siku wameitangaza hii App mpya ila response ndio tatizoIla braza wewe si unafahamiana nao
Ebu wape maoni
Na wewe pia mkuuUsiku mwem wakuu
Au wenyewe hawaitumiiiTushatuoa maoni na malalamiko mengi sana kuanzia siku wameitangaza hii App mpya ila response ndio tatizo
