Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Milima na mabonde havikosekani tusikate tamaaNimeona kuna mtu anakuvizia hapo nimejikuta naghaili
Milima na mabonde havikosekani tusikate tamaaNimeona kuna mtu anakuvizia hapo nimejikuta naghaili
Swadakta tenga sikio vizuriUmeanza kukimbiza usingizi anza na kileeee️
HahahahaaKesi ndio zinanikimbia![]()
Muoga wa kushtakiwa weweKesi ndio zinanikimbia![]()
Itakuwa ule msemo wa ukikaa na waridi unanukia waridi ameufanyia kaziKuliko ya Ice kurudi tu na kuanzishiwa uzi![]()

Kabisaaa.![]()
![]()
hii network ya humu unawezajikuta uko baba na mwana mko kwenye chain moja
Dogo acha nisepe umenikazia naona naweza kutoboa tena we Si poa.
Ila yule mzee naye hata haaminiki kwakweli
Mwifwa kachanganywa na kimwana mpya hapo juu hata hageuzi shingoKwa huyu ni bora tu ungekomaa na Mwifwa
HayaNgoja nikadukue notification zangu sikuona
Tatizo chain siwezi napenda vya pekeyangu ambavyo havina competitionMilima na mabonde havikosekani tusikate tamaa


Nirushie huku chumbaniNjoo chukua naona uvivu kuleta![]()
Basi sikutaji tena kwenye network ya kina KK5TJ267TZBUNDI Imethibitiswa TSh 100,000.00/= imetumwa kwa 07675456674-Thad tarehe 12/3/2018 saa 1.05 A.M. Salio lako la M-Pesa ni TSh 1000.00/=
Pokea hiyo zawadi mwanafunzi mzuri