GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,697
- 18,041
Wakuu kwema
Ndio maana jana sijalinda kabisaLeo umewahii
Niko salama kama unavyoniona lindoniMimi pia
Mzima wewe?
[emoji137] [emoji137]Wakuu kwema
Acha nikae kae hapa kidogoNiko salama kama unavyoniona lindoni
Bora bana.Acha nikae kae hapa kidogo
Mi mheni humu nasubiri muongozoBora bana.
Lete hadithi tukimbize lindo fast hapa
Hakuna muongozo zaidi ya kusema chochote ulichonacho ili muda usongeMi mheni humu nasubiri muongozo
[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]Jaman humu amani ipo...?
Usiku umeshachungulia Avatar hiyoEwaah walahi nimejikuta nishamsahau chaupele cheupe wa Veyula[emoji39]
Kwa sie wakumbatia mito hii avatar ni hatari kwa afya[emoji40]
PoahNaaaaaaaaam mambo
Vip kamanda Mwifwa[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]
PopozPopoz zimelala
Angalia muda wa hiyo post ilipopositiwaMkuu unafungaje geti mapema yote hii?
Hi[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]
[emoji257] [emoji257] [emoji257] [emoji257] [emoji257] [emoji257]
Nimeona bhana...harakaharaka za kuwahi geti lisifungweAngalia muda wa hiyo post ilipopositiwa