Ha ha ha nmekuelewaHapana mpz, nafanya mazoez ya viungo tuu
[emoji3][emoji3][emoji3]nifundisheOoh pole,
Yaah mfungukie.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Kama ni Mwifwa msamehe, ila kama ni mwingine mfungukie tu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hata mimi poa tu,Ahahahaaaaaa nachukia mbwa aiseeh
Ungeniambia wewe waweza kuja ningefurahi sana
TupoooTeam popo mpo
Koh! Koh! Koh!......Pole cha mdeko wangu, nimeamua kurudi kujibu kilio chako, kwani siwezi kupata usingizi wewe ukiwa na majonzi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ha ha ha nmekuelewa
Umeachwaa au vyuma vizito?Nimeamin msongo wa mawazo mbaya yan usingiz hauji kabisa yani unasoma 2G
Yameisha nikiangalia Avatar yako tuu kaka angu mm nasema tu ulikuwa kwenye utaniPole cha mdeko wangu, nimeamua kurudi kujibu kilio chako, kwani siwezi kupata usingizi wewe ukiwa na majonzi
Atakuwa ameshindwa maisha ya mjini karudi zake kwao Kishumundu, mwambie jje's akienda kwao amsalimieHuyo mwalimu wako sijamuona kitambo sijui shida ni nini, tumuulize jje's
[emoji151][emoji151]Vaa hivi saut ya koh koh koh isikike vizurKoh! Koh! Koh!......
[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji118] [emoji118] [emoji124] [emoji124] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Yameisha nikiangalia Avatar yako tuu kaka angu mm nasema tu ulikuwa kwenye utani
Nawe pia kipenzi! Msalimie umpendae [emoji12] [emoji12] [emoji12]Usiku mwema wapendwa [emoji14][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kwako pia mpendwa.Usiku mwema wapendwa [emoji14][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Duuh!!![]()
Wacha nilale na ujumbe huu murua