jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
Unatafutwa na Thad wewe kazana tu na vifunguWanizungukao na kunichongeaa, ni wale nijitoleao nafsi yangu, kusaidia maisha yao.
Matendo yangu ya huruma kwaoo, wamejitahidi wayageuze, wanitie majaribuni,
Oooh! Oooh! Mambo ni yale yale siku zotee,
Mtu mwema hathaminiwi kwaoo,
Yuda alimsaliti Yesuu,
Wanafunzi walimfukuza Mtume Muhammad,
Lakini hayo yote hayawezi kumfanya Mungu asimamishe kazii yakeeeee,
Ukimpelekea mashauri yenye dhambiii, mwenye dhambii
Atashindwa kuyaamua!!!!!
Welah! Wellahhhhhhhhh!
Mzima lkn?
