Gezuz
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 1,010
- 1,352
Geukia huku kama vpNgoja nilale tu maana hapa mnachat kila mtu na wakee haya endeleeni kuenjoy basi peke yenu
Nalala kwa kununa![]()
Geukia huku kama vpNgoja nilale tu maana hapa mnachat kila mtu na wakee haya endeleeni kuenjoy basi peke yenu
Nalala kwa kununa![]()
Kuna nn hapa? Naona mshipa fulani umeniashiria kituNitafukua makaburi yako![]()
![]()
![]()
Karibu sana , me sina usingizi tu, mwenzangu VP??Watu ndo kumekucha
Boss unaelekea wapi huko.Then nadhani ni muda muafaka kwa mimi kuja kwako if you don't mind!!!
Bundi tu ndio ataendaBoss unaelekea wapi huko.
Inaekea una usingiz maana hata hukumbuki majibhKaribu sana , me sina usingizi tu, mwenzangu VP??
Mkuu Leo mapemaJamani mi nalala
PopoNimebaki pekee yangu bila shaka
Utalala utaniacha popo niliyekomaaPopo
Bby hicho kimwlkia mnaongea na mkuu @demmis naona sitokiweza na mm si unajua sipendi nije kukasirikia? Niruhusu mm mpnz wangu nilale najua utakuwa salama.Boss unaelekea wapi huko.
HahahahahaExactly nimeimiss ile thread balaaa ngja niilete hapa
Baby hamna kitu kinachoendelea mambo yangu tote unajua vizuri sina siri kwakoKuna nn hapa? Naona mshipa fulani umeniashiria kitu
P
Ngoja demisi aniambie umeandika nn kimalkia, kutojua tu hiyo lugha bby kuna jambo umenisema ama?
Bundi nguliUtalala utaniacha popo niliyekomaa
twende pamoja kipenzi changu nikubebe hadi kitandani tukapumzike my queen.Bby hicho kimwlkia mnaongea na mkuu @demmis naona sitokiweza na mm si unajua sipendi nije kukasirikia? Niruhusu mm mpnz wangu nilale najua utakuwa salama.
Usichelewe sana hun
umeandika nn Mkuu au usingiziMuda huu ni usiku au mchana? sielewi
Ahahaha mkuu hiyo usafiri ni shida.. Sitaki kusikia.siwezi lala niko ktk pickup ya magazeti roho mkononi