BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,462
- 5,366
Sio najihami nimekosa usingizi tu, mwenzangu je!!?Mbona unajihami?
Sio najihami nimekosa usingizi tu, mwenzangu je!!?Mbona unajihami?
Ndio nn umeandika hichi GnytoGnyto dear
Unashida sana, pole sana kijana.Amelala siwez msumbua malkia wangu
Come closer honey.. Ulaze kichwa kifuani mamaNikikuona magonjwa yote yanakimbia bbylove
Sio najijami nimekosa usingizi tu, mwenzangu je!!?
Anafaa kupewa ajira global publisherz huyuMbona unapenda kuchungulia maswali ya wenzako?
Jibu bhana acha keleleMbona unapenda kuchungulia maswali ya wenzako?
Shida ipi tena acha wivu bana,Unashida sana, pole sana kijana.
Waooooo unajua vile napendaga, looh asante hubby acha nijipumzisheCome closer honey.. Ulaze kichwa kifuani mama
Peleka shombo huko, ndio nn kutamka hivyo.?Wachaaa wee
Narudia ile thread ya kingerezaMbona unakimbia kama unarudi nyuma?
Nimekuambia punguza fujo hunielewiJibu bhana acha kelele
Naenda kufata shukaWapi tena mrembo
HahahaAnafaa kupewa ajira global publisherz huyu
Come closer honey.. Ulaze kichwa kifuani mama
Mshamba hawezi elewa.Shida ipi tena acha wivu bana,
Alafu nimegundua wewe umeathirika, KisaikolojiaPeleka shombo huko, ndio nn kutamka hivyo.?
Watu mnapenda sifaWaooooo unajua vile napendaga, looh asante hubby acha nijipumzishe
Utaibwa hukoNaenda kufata shuka
Mshamba hawezi elewa.
