Jamani, mtoto anatuchonganisha familia nzima!

Jamani, mtoto anatuchonganisha familia nzima!

familia nzima mliyochonganishwa hata sijaiona hapa.
kwa mbaliiii unaonekana kuwa mkatili nasema hivi sababu maelezo yako....unafikiri kumsusia mtoto ati sababu kakuudhi ni sawa??? kwanini hukutumia busara ya ubaba wako kuongea na huyo dogo ajue badala ya kumwacha kama ulivyofanya. jaribu kufkiria huyo ni mwanao wa kuzaa amekua na hizo tabia....ungemsusa aendelee na mambo yake kivyake au ungemsaidia akuelewe na abadilike??
dogo ana makosa hajitambui ma wewe pia una makosa kukwepa jukumu la malezi
 
Kwa siku HESLB wanatupatia 7500 ya kujikimu. Pesa hiyo haitoshi coz wameangalia gharama za vyakula vya kawaida tu.
Kwa chuo nachosoma....wali samaki tu ni sh. 5000
Hapo sijanywa maji wala asubuhi sijanywa chai wala jioni sijala. Kwa kujibana sana huwa natumia 10000 kwa siku minimum....... be reasonable


Watoto wa siku hizi mna raha sana ndo maanaviburi juu kama dogo wa mleta mada,

EnI zetu hilo bumu unalosema halitoshi tunalitumia hadi kusomesha wadogozetu

Samaki unakula mara moja kwa mweZi

Unabana matumizi hadi ukienda likizo unabaki na vijichenji vya kuzunguka kutafuta tempo
 
Shemeji
Shemeji

Ila bado nawaza kijana anatumia 100,000 kwa wiki?

Hahahahah hajui mshahara gross ni 400,000?? Hapo kama atabahatika kupata ajira??

Hahaha si.umesikia alikiws anaweka wave mtoto wa kiume....lazima ziwe kidogo...
 
Kaka, sentenso ya mwisho umesamaraisi kila kitu. Na wadau naona wanamtetea dogo kwa nguvu zote, hivi ndio tunatakiwa tuwalee vijana kwa jinsi hii just because tulichukua jukumu la kuwatunza?

Imagine Dina imagine! Eti mleta mada anakwepa jukumu la malezi mara mkatili sijui nini....sikubaliani na hoja eti angekuwa mtoto wake...kwa.maoni yangu angemfanyia hivo hivo....ndio maana siku hizi kuna kauli za wanaume suruali mara marioo...ni kudekezana kusiko na mpango
 
Last edited by a moderator:
Jamani ndugu zangu naona wengi mmeangalia upande mmoja ti wa mtoto na pia baadhi ya tabia bado hamjazijua kiasi cha mie kufikia kuchoka namna hiyo. ngoja niwaambie kitu.
kijana anapokea boom na pia all the way nimekuwa nampa financial back up regardless kuwa yeye anapokea boom ila mind you wakati mie nasoma sikupokea financial assistance ya mtu yeyoye maana dada alikuwa masomoni na pia hilo hilo bum langu nilikuwa namtumia na yeye. Nikiwa chuoni nilifanya kila aina ya kazi kujikimu.
Ila kwa huyu kijana yeye ni the opposite. Maana laki moja inaisha ndani ya wiki 2!!
So inapotokea mtu unakuwa mfuatiliaji wa masuala yako ya kifedha ndio unakuwa mbaya jamani?
Alikataa shule ya serikali tukampeleka private. Mbona mie nimesoma serikalini huko huko. Tena alingoja hadi kafanyiwa shopping yote na kaenda ndio kaleta ujinga wake.
Jamani yaani ni mengi huyu mtoto kayafanya yanayoumiza tangu na tangu na muda wote huo nimekuwa nampa second chance.
what else should I do now? so isiwe kuwa nashambuliwa kuwa mie ni irresponsible wakati I have done all I could tangu nasoma hadi naingia kazini.

nikikumbuka nilivyokuwa nasoma na mambo niliyoyafanya kupambana na ugumu wa maisha.......
ama kweli kizazi cha sasa hivi laini sana.........
 
Watoto wa siku hizi mna raha sana ndo maanaviburi juu kama dogo wa mleta mada,

EnI zetu hilo bumu unalosema halitoshi tunalitumia hadi kusomesha wadogozetu

Samaki unakula mara moja kwa mweZi

Unabana matumizi hadi ukienda likizo unabaki na vijichenji vya kuzunguka kutafuta tempo

Yaani kizazi cha sasa laini sana............

utakuta dogo ulikuwa unamsomesha na kibum chako, kapata chuo na anapokea bumu , hasomeshi mtu lakini kujiliza daily kuwa bum halitoshi........

kizazi hiki ukipata dogo anayejuakuhustle maisha ni kushukuru Mungu.
 
kumbuka ana boom lakini huyu mtu, hayo unayafanya kama familia ina nafasi ila kama unasaidiwa jamani lazma uwe na huruma. Tatizo kubwa ni huwa tunashindwa kujibana.
ila kweli kichunafk kama ana boom hapo naye amezidi
 
Nyote mnasumbuliwa na umbulula tu, si wewe shangazi wala mpwa.

Haya, kakojoe umalizie kula mayai na kubonyeza ipad.

Unasumbuliwa na msongo wa mawazo wewe sio bure! Kama huna ushauri unacomment nn sasa? Mxxxxuuuuyyyyyyy
 
Kwa meals na vocha unamaliza 10,000 daily? We ni noma.

IFM ambacho ndiyo chuo cha mjini, cafeteria yao msosi:-
Wali kuku = 3,000
Wali nyama = 2,000
Chips Yai = 2,200
Chai kavu = 300
Chapati = 300
Andazi = 200

Sasa wewe mtoto unakulaje 10,000 yote kwa siku?

Mtu ana kula mara moja tu kwa siku?
Na akila hakuna kinywaji?
Usafiri?
Stationary?
Tupe expirience yako mkuu, wewe ulikua una bana vipi budget pls.
 
Mkuu mimi nimekuelewa sana concern yako ila kitu cha msingi cha kunote ni kwamba umri huo ambao huyo dogo yuko chuo wengi wao huwa wanaathirika sana na ushawishi magroup na kama maisha yake kabla ya chuo yalikuwa yakubanwa sana basi kama hayuko makini enough bila shaka maisha ya uhuru wa kupitiliza chuoni huenda pia inamuathiri so kitu cha msingi kama baba ni kukaa nae na kumueleza ukweli apate kujua msismamo wako na pia kumueleza hali halisi ya maisha sometime unakuwa na nia ya kumsaidi ila mambo hayendi so kumueleza ukweli itamfanya asikudefine vibaya.
 
Nimesoma story yako nimegundua kuwa wewe ni muoga wa maisha.Umeoa una mke na watoto bado unamtegemea dada yako akupangie uishi vipi? Acha hizo wewe motto wa kiume kaza buti achana nao endesha maisha yako na familia yako unahangaika mtu yupo chuo kikuu? Jitambue
 
Duh.....afya kwanza.

Mbona kuna wanaokula huko na hawaugui wala nini..kula wali samaki ndonguarantee kwamba ni wasafi.na huwezi kuugua? Unajua wanapikaje huko cafetaria?
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom