Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Ni kupitia Ofisi yako na Kesi za Uchwara Uchwara ,umeizuia CHADEMA kufanya Shughuli zake za Kisiasa Kwa sababu za kijinga kabisa.
Lakini CCM wenyewe ,Kwa Sasa wamewaonyesha Watanzania kua, sio tu kukiuka Katiba yao ya Chama, wamekiuka Katiba ya TAIFA.
Mzee Butiku kasema CCM wamekiuka, Mzee Warioba kasema hivohivo, Polepole kasema hivohivo wewe upo umetulia kama huoni .
Unajua Athari ya unachokifanya wewe mzee?? Huoni unatengeneza Matabaka na kuchochea Uhasama wa Kisiasa??.
Unasuburi mpaka CCM yenyewe waamue kurudia Upya Mchakato wao, Ndio ujitokeze kujifanya unawataka kurudia Mchakato??.