umri aliofikisha unamtosha sana hata akifa hakuna hasara kwa taifa coz ni mzigo toka zamani
Wewe Nuksi Kweli Kweli. Kama angekuwa babako ungesema hivyo au ndio bangi zinaongea???
umri aliofikisha unamtosha sana hata akifa hakuna hasara kwa taifa coz ni mzigo toka zamani
Kwa nini unauliza umri wakati unafahamu huyu ni Tinga Tinga la CCM kwa ajili ya kutetea chaguzi zote ndogo za Wabunge? Nguvu na ushawishi bado anavyo ndio maana hata kule Mbeya alifanikisha kumrudisha mwenyekiti wa CDM chama tawala
Unafiki gani tena! Kwani ukimchoka mtu dawa ni afe? Ukweli nikwamba jf members wengi mmetoka kwenye ubinadamu na utu, kama tumemchoka tumuondoe (tayari imefanyika) na sio kumuombea kifo. UGUA POLE SJMtuache unafiki,mwacheni afe aondoke zake,tumewachoka sana hawa
Kwa hili hatupo pamoja ukipewa nchi si utaua vikongwe wote...NOumri aliofikisha unamtosha sana hata akifa hakuna hasara kwa taifa coz ni mzigo toka zamani
hana lolote fisadi tu huyu na yeye......alikuwa mrohomwa madaraka mpaka alipofukuzwa na wenyechamaTunashukuru mungu kwa hali yake kuimarika ili arejee salama nyumbani, kwani mzee huyu busarana hekima bado taifa hili zinalihitaji sana ukizingati kwamba yeye ni EMINENT PERSON si duniani tu bali ndani ya ccm na taifa kwa ujumla, tingatinga lake linatakiwa kutling ktk vua gamba sijalisikia bila shaka litakuwa na kishindo kikuku 2012!!!!
hawa watu wanatumia fedaha yetu tu kirahisi namna hii??? wazee wa EAST AFRICA mafao yao mpaka leo hawajapataAliongeza kuwa baada ya majibu hayo, Malecela alitoa taarifa serikalini ambapo walimtumia fedha haraka na kumsafirisha mke wake (Anne Kilango) ili akamuuguze wakati amefanyiwa upasuaji