Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Hili jembe ikitokea limesepa nawahakikishieni Likwere litaendesha chama kwa tabu sana. Ni wazee wachache wenye busara waliobaki Magambani
teh teh teh du hakuna huruma kabisa vipi mkuu unafanyakazi kiwanda cha kutengeneza sumu nini?umri aliofikisha unamtosha sana hata akifa hakuna hasara kwa taifa coz ni mzigo toka zamani
umri aliofikisha unamtosha sana hata akifa hakuna hasara kwa taifa coz ni mzigo toka zamani
Kuna madau kanitonya ya kwmb ana miaka 82 mpk ss.Hivi ana miaka mingapi huyu mzee wetu? Na @NYC,USA yupo na babake?
Inamtosha hadi amekopa 12 maana kwa mujibu wa vitabu vitakatifu umri tulioahidiwa ni miaka 70.Kuna madau kanitonya ya kwmb ana miaka 82 mpk ss.
umri aliofikisha unamtosha sana hata akifa hakuna hasara kwa taifa coz ni mzigo toka zamani
The same to you mkuu!!Bill,
My sympathy to you all.....:A S cry:
http://www.portalestoria.net/IMAGES 228/msuya.jpg
http://www.portalestoria.net/IMAGES 228/malecela.jpg
Inamtosha hadi amekopa 12 maana kwa mujibu wa vitabu vitakatifu umri tulioahidiwa ni miaka 70.
Mungu akujalie upone upesi mzee wetu.....JSM aka tingatingaWakuu, kwa mjibu wa spika wa bunge letu, mzee JS Malecela kafanyiwa operation kubwa(moyo). Hali hii imesababisha mama Anne Kilango kutokuwepo mjengoni tangu awali. Tumwombee mzee wetu afya njema.