J. Samwel Malecela ni mgonjwa

Ilibidi liende zake kwa kuwa likikuwa ni sera ya CCM na nchi ilishamua kuachana na chama kimoja hapa Cigwiyemisi si wa kumalumu peke yake
lakini mbona hata mwenyekiti wa kijiwe cha dodoma ameanza kusemasema kuhusu kuchanganya siasa na biashara kwamba ndio mwanzo wa kila lililobaya ndani ya kijiwe chake? Nadhani hata kama walikuja na azimio jingine lakini kuna baaadhi ya vipengele vilikuwa muhimu sana (hasa vinavyohusu maadili ya uongozi) kwa mustakabali wa nchi yetu basi wangevibakiza.... Mwalimu aliona mbali sana....
 
Wakuu, kwa mjibu wa spika wa bunge letu, mzee JS Malecela kafanyiwa operation kubwa(moyo). Hali hii imesababisha mama Anne Kilango kutokuwepo mjengoni tangu awali. Tumwombee mzee wetu afya njema.

Ni hospitali ya humu nchini au nje ya nchi? Recover Soom J M
 
Ni hospitali ya humu nchini au nje ya nchi? Recover Soom J M

Mhh just guessing nadhani itakuwa ni nje ya nchi. But kwani ana umri gani?

Few years back babu yangu alikuwa na matatizo ya moyo daktari tena mtaalam wa hospitali moja siitaji jina alisema kwa umri wake ni risky kufanyiwa operation. Nadnai hizo risky ni wataalam wa nje tu wana viaa sahihi.

Na kwa kuwa alikuwa PM yuko entittled kwa matibabu sehemu yeyote .

Hope and wish he get well earliest
 
Mhh just guessing nadhani itakuwa ni nje ya nchi. But kwani ana umri gani?

Few years back babu yangu alikuwa na matatizo ya moyo daktari tena mtaalam wa hospitali moja siitaji jina alisema kwa umri wake ni risky kufanyiwa operation. Nadnai hizo risky ni wataalam wa nje tu wana viaa sahihi.

Na kwa kuwa alikuwa PM yuko entittled kwa matibabu sehemu yeyote .

Hope and wish he get well earliest

Kwa nini unauliza umri wakati unafahamu huyu ni Tinga Tinga la CCM kwa ajili ya kutetea chaguzi zote ndogo za Wabunge? Nguvu na ushawishi bado anavyo ndio maana hata kule Mbeya alifanikisha kumrudisha mwenyekiti wa CDM chama tawala
 
Bahati nzuri tingatinga limepata hitilafu wakati barabara ya kuelekea Uchaguzi Mkuu ikiwa imeshakamilika kutengenezwa. Sidhani kama CCM wanalihitaji tena mwakani kwenye uchaguzi wa CCM. Ila tumwombee kwa Maulana apone na amjalie uzima na afya njema ili Anne Kilango Malechela aweze kushiriki vema hizo chaguzi akimkampenia EL ambaye ni mwanatandao mwenzake aliyeasi toka kwa Wanaharakati dhidi ya UFISADI.
 
Kuna Mtoto wake hapa kwenye Jamii Forum kwanini asitusaidie kwenye Suala hili?
 
Tingatinga letu lipo gereji! Mola amsaidie kuondokana na maradhi ili tukijaaliwa arudi kutufagilia barabara wenye meno wapite come 2015.
 
Duh polen wana familia
hivi wadau ikitokea kwenye upande wa posho anatoa hudhuru posho yake inarudi hazina ama??maana najua zinakuwa zimetoka kurudi ni shuguli na kama uamini nenda halima shauri uone mambo uliza mrema na wenzake wanavyoshiba na 10 per
pole mama yetu jamani mungu akupe nguvu ya kumtunza kababu chetu ndio baraka zenyewe hizo mmetokambali tangu uwt mkoa ..
 
Thread ya rostam kama hii sijui itarukiwaje iwapo mzee wetu wanamngonga hivi jamani
lusinde nae alitakiwa aombe ruksa ama ndio ppppppppppppooooooooooooooossssssssssss.......
 
umri aliofikisha unamtosha sana hata akifa hakuna hasara kwa taifa coz ni mzigo toka zamani
JF imekuwaje siku hizi jamani?! Tuweni sensitive na tuweke ubinadamu mbele. Leo anaumwa huyu Mzee KESHO NI WEWE, MIMI AU MWINGINE! Utajisikia vp pale watu watatoa maoni kama haya?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom