Iwe heri kwako Bro Mabeste katika ndoa yako

Iwe heri kwako Bro Mabeste katika ndoa yako

Kila la heri kwao, kuhusu kuonekana kwa mara ya kwanza mitandaon nakupinga.
 
Jipe moyo... walileta mambo yao mitandaoni na sisi tukasikiliza pande zote mbili....

Endelea kuteseka, kikubwa ampe mimba huyo mkewe apate na watoto wake wa damu wengine
Wewe ni ke au me?
 
KARMA IS A BITCH 😃
Screenshot_20260927_115358_Lite.jpg
 
Hii ndoa haifiki popote... miaka miwili mingi.

Yule Lisa hakua na shida bali huyu mabedte ndio alikua tatizo.

Na hapa akizubaa tena anachapiwa
Sawa mkuu! Ngapi ngapi huko?! Tumemaliza mwaka sasa 😃
 
Back
Top Bottom