Huyu ndiyo mwanamke sasa. Wanawake wauza sura wengi hawanaga hisia za kweli na wanaume bora kwao. Kutokana na ujinga wao mwisho wake kuishia kuchezewa tu na kutupwa jalalani.Mbona mwanamke ni mzee tayari.?
Bado miezi mitano watimize miaka miwili we hasidiHii ndoa haifiki popote... miaka miwili mingi.
Yule Lisa hakua na shida bali huyu mabedte ndio alikua tatizo.
Na hapa akizubaa tena anachapiwa