Iwe heri kwako Bro Mabeste katika ndoa yako

Iwe heri kwako Bro Mabeste katika ndoa yako

Mkuu umeutumia ukurasa huu kumpa emotional message huyu ndugu Mabeste, lakini tufahamishe kwanza huyu ni nani?
 
😀 We jamaa bwana eti watanzania mara shemeji yetu?Shemeji yenu na nani sasa? yaani umemuongelea kama tumekutuma vile. Anyway hongera zake apatae mke amepata kitu chema.
Ila watanzania nyie! 😃 kwahiyo kina Rotimi ni mashemeji wa Tanzania ila huyu bibiye sio?
 
Hii ndoa haifiki popote... miaka miwili mingi.

Yule Lisa hakua na shida bali huyu mabedte ndio alikua tatizo.

Na hapa akizubaa tena anachapiwa
Watakie mema siyo mabaya kiasi hicho. Au wewe ndiyo Lissa maana siyo kwa chuki hizo. Mweeee
 
Kuna watu wanaowa kimkakati kama Maulid Kitenge.

Nyinyi endeleeni kudanganyika na tako mtateseka sana wenzenu kila siku wanapanda ndege bill ya mama.
Ukitaka ndoa isikutese oa mwanamke mwenye sura na muonekano wa kawaida tofaut na hapo utatseka sana mkuu
 
Back
Top Bottom