Nimeshikilia Hatma ya ndoa ya Rafiki yangu

Lighton

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
2,020
Reaction score
3,372
Habar za usiku huu wakuu

NItaeleza kwa ufupi.

Huyu ambaye nazungumzia mada yake ni rafiki yangu sana, tunafanya wote kazi sehem moja.
Sasa Kuna huyu rafiki yangu mwingine ambaye ni WA nyumbani, ni mjasiriamali ana ofisi yake anafanya biashara zake, ni smart sana.

Huyu rafiki yangu ninayefanya nae kazi ana mke wake amemfungulia biashara yake kule mtaani ni mama ntilie, anafanya kazi na ndugu zake(wanawake)

Mara nyingi huyu shemeji yangu husambaza chakula maeneo ya huku mtaani karibu na ofisi ya huyu jamaa yangu wa kitonga

Iko hivi siku moja weekend nilikuwa mtaani, nikasema ngoja niende kwa mshkaji wangu nikale unyama(free Wi-fi) nikafika nikapoa pale na jamaa, nimekaa pale nilikuwa nimeagiza msosi nasikilizia, mara akaja pale yule shemeji yangu, Mimi nimepoa pembeni nakula unyama, hee nikaona jamaa anaongea na yule shemeji yangu nikasema hizi ni biashara Mambo ya msosi wakala pale yule shemeji akaondoka( Sina mazoea nae kabisa lakini anajua Mimi ni shemeji yake)

Sasa Kuna siku moja weekend, ilikuwa mechi kati ya simba na esperance ugenini. Nilikuwa kwa mshkaji wangu wa kitonga, nikamuuliza game si tunaangalia? Amna Kuna mechi nyingine naenda kucheza😄😄 nacheka lakini..... Nataka kusema kitu lakini Sheria za jukwaa zinanibaña.

Kumbe jamaa siku Ile alikuwa anaenda kumkula yule shemeji yangu, siku Ile mechi imeisha jamaa amerudi nikamwambiya vip mzee game yako imeishaje? Jamaa akasema nilicheza first half tu, second nilikimbia, tukaachana.

Juzi nimekaa na jamaa tunapiga stori nikawa namsimulia kwamba yule anayepika misosi ni shemeji yangu, ndo akaanza kunipa stori.

Kwamba yule manzi(shemeji) alikuwa anamkubali kinoma, nikamuuliza hakukwambya kuwa ameolewa? Akasema yeye alikuwa anajua kitambo na alikuwa anamcholea demu akawa king'ang'anizi jamaa akaamua kupita nae.

Jamaa ameniambiya vingi, Ila aliongea viwili vikubwa ambayo ni
1. Najua kumchoropoka kuja kwako, na hata akituona hawezi Fanya kitu nammudu.
2. Sijasex mda mrefu sana(first time wanasex)

Ndoa zinatisha.
 
Habar za usiku huu wakuu

NItaeleza kwa ufupi........
Huyu ambaye nazungumzia mada yake ni rafiki yangu sana, tunafanya wote kazi sehem moja.
Sasa Kuna huyu rafiki yangu mwingine ambaye ni WA nyumbani, ni mjasiriamali ana ofisi yake anafanya biashara zake, ni smart sana.

Huyu rafiki yangu ninayefanya nae kazi ana mke wake amemfungulia biashara yake kule mtaani ni mama ntilie, anafanya kazi na ndugu zake(wanawake)

Mara nyingi huyu shemeji yangu husambaza chakula maeneo ya huku mtaani karibu na ofisi ya huyu jamaa yangu wa kitonga

Iko hivi siku moja weekend nilikuwa mtaani, nikasema ngoja niende kwa mshkaji wangu nikale unyama(free Wi-fi) nikafika nikapoa pale na jamaa, nimekaa pale nilikuwa nimeagiza msosi nasikilizia, mara akaja pale yule shemeji yangu, Mimi nimepoa pembeni nakula unyama, hee nikaona jamaa anaongea na yule shemeji yangu nikasema hizi ni biashara Mambo ya msosi wakala pale yule shemeji akaondoka( Sina mazoea nae kabisa lakini anajua Mimi ni shemeji yake)

Sasa Kuna siku moja weekend, ilikuwa mechi kati ya simba na esperance ugenini. Nilikuwa kwa mshkaji wangu wa kitonga, nikamuuliza game si tunaangalia? Amna Kuna mechi nyingine naenda kucheza😄😄 nacheka lakini..... Nataka kusema kitu lakini Sheria za jukwaa zinanibaña.

Kumbe jamaa siku Ile alikuwa anaenda kumkula yule shemeji yangu, siku Ile mechi imeisha jamaa amerudi nikamwambiya vip mzee game yako imeishaje? Jamaa akasema nilicheza first half tu, second nilikimbia, tukaachana.

Juzi nimekaa na jamaa tunapiga stori nikawa namsimulia kwamba yule anayepika misosi ni shemeji yangu, ndo akaanza kunipa stori.....
Kwamba yule manzi(shemeji) alikuwa anamkubali kinoma, nikamuuliza hakukwambya kuwa ameolewa? Akasema yeye alikuwa anajua kitambo na alikuwa anamcholea demu akawa king'ang'anizi jamaa akaamua kupita nae.

Jamaa ameniambiya vingi, Ila aliongea viwili vikubwa ambayo ni
1. Najua kumchoropoka kuja kwako, na hata akituona hawezi Fanya kitu nammudu.
2.Sijasex mda mrefu sana(first time wanasex)

Ndoa zinatisha.
Kuelewa aina hii ya uandishi ni pasua kichwa kwa kweli!

Sielewi dhamira ya mwandishi ni nini kutumia maneno 'kabila' hii!

2...'sijasex mda mrefu sana(first time wanasex)'... Ambaye ana muda mrefu hajasex ni huyo mwanamke, wewe mwenyewe au huyo mgoni?
 
Habar za usiku huu wakuu

NItaeleza kwa ufupi........
Huyu ambaye nazungumzia mada yake ni rafiki yangu sana, tunafanya wote kazi sehem moja.
Sasa Kuna huyu rafiki yangu mwingine ambaye ni WA nyumbani, ni mjasiriamali ana ofisi yake anafanya biashara zake, ni smart sana.

Huyu rafiki yangu ninayefanya nae kazi ana mke wake amemfungulia biashara yake kule mtaani ni mama ntilie, anafanya kazi na ndugu zake(wanawake)

Mara nyingi huyu shemeji yangu husambaza chakula maeneo ya huku mtaani karibu na ofisi ya huyu jamaa yangu wa kitonga

Iko hivi siku moja weekend nilikuwa mtaani, nikasema ngoja niende kwa mshkaji wangu nikale unyama(free Wi-fi) nikafika nikapoa pale na jamaa, nimekaa pale nilikuwa nimeagiza msosi nasikilizia, mara akaja pale yule shemeji yangu, Mimi nimepoa pembeni nakula unyama, hee nikaona jamaa anaongea na yule shemeji yangu nikasema hizi ni biashara Mambo ya msosi wakala pale yule shemeji akaondoka( Sina mazoea nae kabisa lakini anajua Mimi ni shemeji yake)

Sasa Kuna siku moja weekend, ilikuwa mechi kati ya simba na esperance ugenini. Nilikuwa kwa mshkaji wangu wa kitonga, nikamuuliza game si tunaangalia? Amna Kuna mechi nyingine naenda kucheza😄😄 nacheka lakini..... Nataka kusema kitu lakini Sheria za jukwaa zinanibaña.

Kumbe jamaa siku Ile alikuwa anaenda kumkula yule shemeji yangu, siku Ile mechi imeisha jamaa amerudi nikamwambiya vip mzee game yako imeishaje? Jamaa akasema nilicheza first half tu, second nilikimbia, tukaachana.

Juzi nimekaa na jamaa tunapiga stori nikawa namsimulia kwamba yule anayepika misosi ni shemeji yangu, ndo akaanza kunipa stori.....
Kwamba yule manzi(shemeji) alikuwa anamkubali kinoma, nikamuuliza hakukwambya kuwa ameolewa? Akasema yeye alikuwa anajua kitambo na alikuwa anamcholea demu akawa king'ang'anizi jamaa akaamua kupita nae.

Jamaa ameniambiya vingi, Ila aliongea viwili vikubwa ambayo ni
1. Najua kumchoropoka kuja kwako, na hata akituona hawezi Fanya kitu nammudu.
2.Sijasex mda mrefu sana(first time wanasex)

Ndoa zinatisha.
Niko Bar usiku huu halafu nimesahau miwani ya macho nyumbani 🙂‍↕️
 
Back
Top Bottom