mabeste

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwanadada Lisa ambaye alikuwa mke wa ndoa wa Msanii Mabeste ameachwa na mpenzi wake ambaye alikuwa rafiki wa Mabeste

    Mwanadada Lisa ambaye alikuwa mke wa ndoa Takatifu na Msanii Mabeste hatimaye ameachwa na mpenzi wake ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa mumewe wa zamani Mabeste na mwanaume huyo kuoa mwanamke mwengine baada ya kudumu na Lisa kwa muda mrefu
  2. Quavohucho

    JamiiForums Tanzania Aliyewatenganisha Lissa fickenscher na mabeste Aoa!!!

    Pax aliyekuwa rafiki wa msanii wa mabeste miaka hio na baadaye kuja kugombana na mabeste Kisha akaoa aliyekuwa mke wa mabeste Lissa,, ( issues hii ili trend sana mwaka 2019/2020) Hatimae jana kijana huyo Aoa mwanamke mwingine ambaye sio maarufu na hajulikani mitandaoni,, Haijulikan Nini...
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania Iwe heri kwako Bro Mabeste katika ndoa yako

    Hongera sana kwa kuanza ukurasa mpya wa maisha, tazama mbele brother na endelea kusamehe na kusahau yale ambayo yalitokea kipindi ulipojitoa kwa ajili ya Lisa. Karma is a bitch! Nature itakulipia bro wala usisumbuke na yaliyopita, waswahili wanasema YALIYOPITA SI NDWELE tazama mbele kuna maisha...
Back
Top Bottom