Huyu wala awez kumsumbua sababu muonekano wake wa kawaida sana jamaa kajua sana kuoa kimkakatiHongera yake lakini awe makini sasa hivi
Kweli sisi wanawake wa kawaida tumetulia sanaHuyu wala awez kumsumbua sababu muonekano wake wa kawaida sana jamaa kajua sana kuoa kimkakati
Saiv amejua kuchanga karata hope watafika mbaliHuyu bwana mdogo hakomi?
YeahAmeshawahi kupigwa na kitu kizito mwanzo
Kabisa wanawake weusi tumetulia mnoAu sio
Yeah sasa oa pisi kali uteseke kuoa mwanamke mzr ni kama kupanda miwa kwenye shule ya msingi utachapiwa mpaka ukome katika kitu sitojichanganya kuoa ni kuoa pisi kaliKweli sisi wanawake wa kawaida tumetulia sana
Hakuna sehemu niliyomtakia mabaya wala mema.Watakie mema siyo mabaya kiasi hicho. Au wewe ndiyo Lissa maana siyo kwa chuki hizo. Mweeee
Kwaio na uyu kikiumana itakuaje au ataoa mwingineVitu viliumana
Dem alimpiga chini mshikaji kipindi ambacho mshkaji alikuwa ovyo kiuchumi huku chanzo kikiwa mwamba atoi matumiziYeye na mke wa mwanzo kiliwakuta kitu gani mkuu?
Bahati mbaya wanaume wapumbavu wanaenda kuhangaika na hizo pisi kali wanatuumiza sisi wa kawaidaYeah sasa oa pisi kali uteseke kuoa mwanamke mzr ni kama kupanda miwa kwenye shule ya msingi utachapiwa mpaka ukome katika kitu sitojichanganya kuoa ni kuoa pisi kali
Hao ni wale madem wa mapenz pesa. Atakua alishajifunzaDem alimpiga chini mshikaji kipindi ambacho mshkaji alikuwa ovyo kiuchumi huku chanzo kikiwa mwamba atoi matumizi
Kwa huyu ni ngumu maana jamaa kajua kuoa kimkakati coz huyu dem ana muonekano wa kawaida sana ingekuwa pisi kama lisa hapo kingewakaKwaio na uyu kikiumana itakuaje au ataoa mwingine