Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Chadema ni zoa zoa wanabeba kila mwanachama hata kama ni mchafu kiasi gani ndani ya jamii mwangalie mtu kama sugu na afande sele mpaka anavua nguomjukwaani lakini ndiyo wanaopendwa na wenye chama.
We jamaa nitafute nikununulie bia mbili


[emoji1]
 
Nao waona watagombea urais toka CCM ni ASHA ROSE MIGILO
EDWARD NGOYAYE LOWASA
BERNAD MEMBE
SAMWEL SITTA
LAKIN KETE KUBWA IPO KWA E.L. NA CCM WAKIMWACHA HUYU JAMAA ATAKISAMBARATISHA CHAMA MAANA KWANZA AMEWEKEZA SANA NA ANAMATARAJIO MAKUBWA SANA MPAKA ANAKWENDA KUTABIRIWA KWA T.B.JOSHUA UNADHAN NI KIASI GANI AMEDHAMILIA?.
LAKIN PIA SAMWEL SITTA NI MZURI SANA NA HATA KUBALI KUONA E.L ANAINGIA IKULU SASA NI WAKATI WA CCM KUTUMIA AKILI KUTOWASIMAMISHA HAO WOTE LABDA ROSE MIGIRO PEKEE KWA KUIPA KIPAUMBELE JINSIA.
ULISAHAU KUMTAJA JPM ila umefanikiwa kusema wangesimamisha tofauti na uliowataja
 
Duuh haya makaburi mnayoyafukua kuna watu wanaumia sana

Naahidi huu uzi ntakua nau update ili wayaone matapishi yao

Vilaz aaaaaa wa mwendokasi waio kuwa na msimamo hawa
Naogopa kusema lolote kuhusu hili, maana naweza jikuta nazua ugomvi hadi ndani...[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom