Hakuna maridhiano ya kweli pasipo CHADEMA kushiriki

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,759
Reaction score
62,977
The obvious truth, CCM wanajua kuwa turufu ya maridhiano iko mikononi mwa Chadema na sio chama kingine chochote kati ya vyama 18.

Mbwembwe zote za kina Wasira, Kihongosi, Msajili wa vyama, na vyama shikizi kusema eti, wanaweza kuridhiana bila Chadema kuwepo, zimekuwa kazi bure.

Bila Chadema kushiriki itakuwa kazi bure, yataitwa maridhiano feki, 'cosmetic reconciliation'.
 
Kwa maoni yangu,
kwenye maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania vyama vya siasa na misimamo yao useless si muhimu hata kidogo.

Ni muhimu sana,
waTanzania wote wakafanya maridhiano yao ya hiyari bila kuzingatia wanaharakati uchwara wala wanasiasa wasio na agenda na hiyo itasaidia sana kuyafikia malengo ya kupata katiba mpya ya waTanzania wote kwa ufanisi zaidi na bila vikwazo vyovyote vile.

Nadhani vyama vya siasa viachwe na porojo zao, lakini pia kuna vyama vingine vimehifadhi vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ambao ni maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu.

So, vyama vya siasa visiwe sehemu ya maridhiano ispokua, wananchi waje pamoja kwenye maridhiano hayo ya hiyari kama waTanzania na si vinginevyo.
Nadhani itapendeza zaidi 🐒
 
Wanajisahuhulisha kuwa mawazo ya CHADEMA ni mawazo ya wananchi, CHADEMA iko na wananchi wengi kuliko CCM, Huo ndio ukweli.
Na iwapo CCM watakuwa na shingo ngumu na kiburi wajue kuwa wamefunika moto na majivu kwa kuwa wao wanahitaji sana maridhiano ya kweli kuliko CHADEMA, na hii ni kwa faida yao na vizazi vyao kwa kuwa siku nguvu ya wananchi itakaporudi watalipa mpaka chanchi ya mwisho kwa kuwa hakuna kabila ambalo halitafukuliwa.
 
Kwa maoni yangu,
kwenye maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania vyama vya siasa na misimamo yao useless si muhimu hata kidogo.

Ni muhimu sana,
waTanzania wote wakafanya maridhiano yao ya hiyari bila kuzingatia wanaharakati uchwara wala wanasiasa wasio na agenda na hiyo itasaidia sana kuyafikia malengo ya kupata katiba mpya ya waTanzania wote kwa ufanisi zaidi na bila vikwazo vyovyote vile.

Nadhani vyama vya siasa viachwe na porojo zao, lakini pia kuna vyama vingine vimehifadhi vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ambao ni maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu.

So, vyama vya siasa visiwe sehemu ya maridhiano ispokua, wananchi waje pamoja kwenye maridhiano hayo ya hiyari kama waTanzania na si vinginevyo.
Nadhani itapendeza zaidi 🐒
Wanachama wa vyama vya siasa ndio wananchi wenyewe ukiwatoa unabaki na watoto.
 
Kitu gani kimepelekea maridhiano?

Nakwambia usiingize mifugo kwenye shamba langu, wewe unaiingiza kwa kiburi, nnakuuliza kwanini unaacha mifugo ichunge shambani, unaleta kiburi, tunatofautiana na ugomvi mkubwa kisha unasema tufanye maridhiano bila kukubali ulikosea tokea awali kukaidi taratibu za kuachia mifugo yako iingie shambani kwangu. Suluhu ngumu sana hapo.
 
Kwa maoni yangu,
kwenye maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania vyama vya siasa na misimamo yao useless si muhimu hata kidogo.

Ni muhimu sana,
waTanzania wote wakafanya maridhiano yao ya hiyari bila kuzingatia wanaharakati uchwara wala wanasiasa wasio na agenda na hiyo itasaidia sana kuyafikia malengo ya kupata katiba mpya ya waTanzania wote kwa ufanisi zaidi na bila vikwazo vyovyote vile.

Nadhani vyama vya siasa viachwe na porojo zao, lakini pia kuna vyama vingine vimehifadhi vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ambao ni maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu.

So, vyama vya siasa visiwe sehemu ya maridhiano ispokua, wananchi waje pamoja kwenye maridhiano hayo ya hiyari kama waTanzania na si vinginevyo.
Nadhani itapendeza zaidi 🐒
Yeriko Nyerere jifunze siasa,
Maridhiano ya kweli ni faida kwa CCM, Na hili maridhiano yawe ya kweli yasiongozwe na CCM, Yenyewe iweke njia na kutengeneza mjumuisho wa makundi yote ya kijamii ambayo yatakuwa yanawakilisha uhalisia wa Utanzania.
CHADEMA wana sehemu muhimu ya maridhiano kwa kuwa wao ni waathirika wakubwa wa mfumo kandamizi wa CCM ambapo kwa nyakati kadhaa CCM imetumia vyombo vya ulinzi na usalama kuionea CHADEMA Sababu ya nguvu iliyonayo kwa wananchi vitendo kama kuiba uchaguzi, kufunga na hata kupoteza viongozi wake kama Ben Saanane,Mdude Nyagali ,Mzee Kibao na hata Kijana mdogo Soka.

Lakini kitendo cha Mwenyekiti wa CHADEMA kushambuliwa kwa risasi waziwazi na watu wasiojulikana kwenye makazi ya viongozi palipo na camera, ambapo mpaka sasa waliofanya hivyo hawajajulikana.
Mambo hayo yote wananchi bila kujali vyama vyetu hatupendezwi nayo.
 
Mambo hayo yote wananchi bila kujali vyama vyetu hatupendwi nayo.
Du! kumbe Tlaatlaah ndiye Yericko Nyerere
 
Gentleman,
hakuna haja ya kupotosha wadau wa Jf.

Maridhiano ya hiyari miongoni mwa wananchi na waTanzania wote, ni kwa manufaa na maslahi mapana ya taifa zima.

hizo porojo zingine wadanganye wafuata mkumbo na wasusa uchaguzi 🐒
 
Kabla ya uchaguzi Chadema walishauri kuwe na maridhiano CCM kwa uroho wa madaraka wakakataa, leo wamesahau nini kwanza kuna vyama 18.
hakuna mTanzania anaweza kukubali ushauri wa vyama vya siasa vinavyotumiwa na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kujaribu kufanya uasi na Mapinduzi dhidi ya serikali sikivu ya CCM.

that's completely nonsense gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom