funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,534
- 31,198
- Thread starter
- #21
Ya kusoma kwenye teleprompter inajulikana,kuna wakati alisoma lakini kuna muda alitoa nondo hadi wazee wa Dar wakasimama.Siku hizi hawasomi kwenye Makaratasi ...... Teleprompter!!
Angetoa kichwani asingesahau zile Nywi nywi nywi ......!!
Hata yeye amefurahi kwa ile applause ambayo ilikuja naturally