IS your LOVE safe??? SHTUKA!!! Lol

IS your LOVE safe??? SHTUKA!!! Lol

oooh well well well

Mi naungana na NN kuwa at the end of the day, kwa sababu tunachoangalia hapa ni kwamba consequences za mahusiano ya hivyo ni watu 'kucheat', then lawama ni kwa mhusika per se.

kwa sababu, (na kama Mwali anavosema) inategemea mtu 'anahehsimu' vipi mahusiano yake.....na hili linaturudisha kule kule kwa mwanzo kabisa kwamba kwa nini upo na mpenzi wako wa sasa? Unempenda kweli, au upo naye kwa sababu nyingine, labda mali, fedha, umri, show off, kulipiza kisasi, au vyovyote?

for I know for sure kuwa kama uliyenaye unampenda basi utaheshimu mahusiano uliyopo na hutaonyesha such a 'high affinity' kwa rafiki wa mpenzi wako. Inawezekana kweli kusiwe na feelinngs za kimapenzi baina ya mtu 'na shemeji yake' lakini pia ikitokea, kuna something underlying that.

Na kwa sababu hiyo kabla hatujamlaumu 'shemeji' kwa kulitia maji, nadhani siye wa 'kustuka' tujistukie whats lacking kwenye relationship yetu hadi mwenza anakuwa anapenda kuwa muda mrefu na shemeji....whatever....

So mi siamini wale ambao 'hawataki kabisa urafiki na mashostito' for kama unajiamini, huwezi kuibiwa. Kuibiwa, unajiibia wewe mwenyewe.

"Bata kuchezea tope kapenda mwenyewe"

Sweetie, please tuendelee kutoka aout na Mwali, SL, Kongosho, and the like....hakuna noma kabisa... (leo usisahau my favourite wine,,lol)
 
Lol! Wifi yangu una wivu sana,kha!
Sijasoma posts zingine, ila kwa upande wangu I suspect the least. I have a lot of male friends, I befriend their ladies wakiniruhusu (kuna mdada unajaribu reaching out unashindwa), lakini kupiga stori na kucheka tu is not good enough a reason to trigger an alarm for me. So kama ni kuibiwa, well, watakuwa wanajisevia,lol! And I don't dig out, I trust but he is guilty until proven innocent. Yes, I mean exactly that hahaha

King,,,,,hakuna option ya kugonga like mbili, ila ya kunlike tu....:A S-coffee:
 
hahaha.... no uvumilivu eeeh? Hata hivo in most cases the guys would do that radher than the women....lol

What else can u do sisy....sema kwenye hii ishu wahanga ni kina nyie.....huwa nawaonea huruma tu...
 
mara nyingi sana inatokea hii, na wahusika wanaweza kufa na tai shingoni
 
VD, wahanga wanaume wapo aisee! Trust me, na inakuwa mbaya mara dufu! Unakuja na Kaizer home, wife kila siku anamuulizia. Akipika wali wa nazi anakuambia mpigie Kaizer apite ale..., akipika vitumbua ama maandazi anakuambia Kaizer anapenda kweli maandazi ya nazi, hivi yupo? Na mwisho utaskia gari ilinizimikia na shem Kaizer akaja kunisaidia. Halafu unakutana na Kaizer hakuambii chochote, mweh! Nyie ndo huwa mnaumia zaidi aisee!

Aisee....we King wewe......:A S-coffee:
 
mimi yashanishinda ya mapenzi au hujaingia chit chat ukaona?

Pole saana Dear... Usikate tamaa kiasi hicho... ndio nilienda kuona.... Just go with flow na eventually utapenda tena.
 
oooh well well well

Mi naungana na NN kuwa at the end of the day, kwa sababu tunachoangalia hapa ni kwamba consequences za mahusiano ya hivyo ni watu 'kucheat', then lawama ni kwa mhusika per se.

kwa sababu, (na kama Mwali anavosema) inategemea mtu 'anahehsimu' vipi mahusiano yake.....na hili linaturudisha kule kule kwa mwanzo kabisa kwamba kwa nini upo na mpenzi wako wa sasa? Unempenda kweli, au upo naye kwa sababu nyingine, labda mali, fedha, umri, show off, kulipiza kisasi, au vyovyote?

for I know for sure kuwa kama uliyenaye unampenda basi utaheshimu mahusiano uliyopo na hutaonyesha such a 'high affinity' kwa rafiki wa mpenzi wako. Inawezekana kweli kusiwe na feelinngs za kimapenzi baina ya mtu 'na shemeji yake' lakini pia ikitokea, kuna something underlying that.

Na kwa sababu hiyo kabla hatujamlaumu 'shemeji' kwa kulitia maji, nadhani siye wa 'kustuka' tujistukie whats lacking kwenye relationship yetu hadi mwenza anakuwa anapenda kuwa muda mrefu na shemeji....whatever....

So mi siamini wale ambao 'hawataki kabisa urafiki na mashostito' for kama unajiamini, huwezi kuibiwa. Kuibiwa, unajiibia wewe mwenyewe.

"Bata kuchezea tope kapenda mwenyewe"

Sweetie, please tuendelee kutoka aout na Mwali, SL, Kongosho, and the like....hakuna noma kabisa...
usisahau my favourite wine,,lol)
Baelezeye Kaizer!
 
... Great!! AND

That been said!!?

Nime note .. inaonekana kuchukua hatua kama hizo mapema ni kind of being over protective, luck of trust ...etc! Mimi siamini hivyo ... ! Kwa sababu ... They way watu wengi wanataka iachiwe un observed and not taken care ... Ni kwamba most of the time .. Inakuwa kwenye point of no return ..pale inapoonza kushughulikwa ... na wengi hata kama wanataka ..can not handle it in a right way ... to allow it to make them apart!! ... so ni bora kujilinda watu kuingia na kujikuta in that poor realtionship ... alafu kuanza processes ..ngumu ya kujirudi ..which always dot work out!!

Uwezo wa kuwa objective na ku overcome wrong emotions and feelings za mahusiano .... mhhh .. Bora partners wakasidiana not to let a parasite on their relation ..

Hapo in blue.... Umeongea kweli kabisa... Kikumbwa haitakiwi ikithiri na kuvuka Mpaka! Yatakiwa iwe nurtured na ni vitu ambavo katika relationships ni muhimu ku observe.... Napenda nitolee mfano wa mtoto mdogo. Tunapokua na mtoto mdogo nyumbani hua kila siku unaangalia kama there are any abnormal signs, kama kumshika joto lake, kuangalia choo anachotoa, kuangalia attitude yake je ni wafuraha lakini kapoa? na the like... Precautions za muhimu ili kuepusha anything major ambayo yaweza happen.
 
Lol! Wifi yangu una wivu sana,kha!
Sijasoma posts zingine, ila kwa upande wangu I suspect the least. I have a lot of male friends, I befriend their ladies wakiniruhusu (kuna mdada unajaribu reaching out unashindwa), lakini kupiga stori na kucheka tu is not good enough a reason to trigger an alarm for me. So kama ni kuibiwa, well, watakuwa wanajisevia,lol! And I don't dig out, I trust but he is guilty until proven innocent. Yes, I mean exactly that hahaha

Khaaa!!! That attitude... sababu tu upo confident my bother Paw hana mda na wadada wengine! lol...

On a serous note;

It is not about digging.. No! Hapa ulivo eleza you are taliking about your male friends (not his) as much as I believe wapo ambao ni rafiki zake na upo nao karibu. Kunakua na distance fulani na kiheshima fulani hivi kwa shemejio... Na sina maana kua hawezi kua sorounded na wanawake.... That would be absurd! Nasema kile kitendo cha rafiki wako wa karibu kua karibu kuvuka mpka kwa mpenzio.... sio advisable... thou mazoea ya kawaida yalojengwa heshima ni acceptable and convenient...
 
AshaDii aksante mamii kwa hiki kipande maana ni kweli yanatokea kabisa. Yalishanikuta isipokuwa kwangu kulikuwa na element moja ambayo iko opposite na yako. Wao walipretend kuwa maadui!! Kabisaa na hata mtu wangu alifikia hatua ya kunipiga marufuku mie kuwa karibu na huyo mdada ilhali huyu mdada naye kila akiniona na huyo chalii ananinunia hata salamu7 kuitikia inakuwa kazi na tunapokuwa na yeye tu heshinambia kuwa hamwamini huyo mkaka! phweee siku nilipowakuta nilishindwa hata kupumua, nikaishia kuwafungisha ndoa ya mkeka kimoyomoyo.
 
Loh. . . MJ1 pole mwaya japo yalishapita.
Hii ya wawili kujifanya hawapendani nimeshaisikia sana. Unakuta kila mmoja anakwambia "hakufai huyo mwanaume/hakufai huyo rafiki". . . kumbe wanajaribu tu kuficha mambo yao.
 
oooh well well well

Mi naungana na NN kuwa at the end of the day, kwa sababu tunachoangalia hapa ni kwamba consequences za mahusiano ya hivyo ni watu 'kucheat', then lawama ni kwa mhusika per se.

kwa sababu, (na kama Mwali anavosema) inategemea mtu 'anahehsimu' vipi mahusiano yake.....na hili linaturudisha kule kule kwa mwanzo kabisa kwamba kwa nini upo na mpenzi wako wa sasa? Unempenda kweli, au upo naye kwa sababu nyingine, labda mali, fedha, umri, show off, kulipiza kisasi, au vyovyote?

for I know for sure kuwa kama uliyenaye unampenda basi utaheshimu mahusiano uliyopo na hutaonyesha such a 'high affinity' kwa rafiki wa mpenzi wako. Inawezekana kweli kusiwe na feelinngs za kimapenzi baina ya mtu 'na shemeji yake' lakini pia ikitokea, kuna something underlying that.

Na kwa sababu hiyo kabla hatujamlaumu 'shemeji' kwa kulitia maji, nadhani siye wa 'kustuka' tujistukie whats lacking kwenye relationship yetu hadi mwenza anakuwa anapenda kuwa muda mrefu na shemeji....whatever....

So mi siamini wale ambao 'hawataki kabisa urafiki na mashostito' for kama unajiamini, huwezi kuibiwa. Kuibiwa, unajiibia wewe mwenyewe.

"Bata kuchezea tope kapenda mwenyewe"

Sweetie, please tuendelee kutoka aout na Mwali, SL, Kongosho, and the like....hakuna noma kabisa... (leo usisahau my favourite wine,,lol)

Sweetie, Katika mahusiano mengi ya sasa hivi... watu wengi wamekua ni matapeli wa Wapenzi ijapo to the people close to them. Tokana na ukweli huo wewe kama mhusika mmoja wapo wa kua na Mpenzi ambae you are still nurturing that trust... Nimuhimu saana kujua hayo ili kuepusha kitu ambacho maybe kiko wazi toka mwanzo. Kama ulivo sema mwenyewe hapo Sweetie kua kama Mpezi wako wampenda kweli, lazima utaheshimu hayo mahusiano na the bounderies with those ambao wako karibu.... But ni kweli wewe waweza penda kweli but how would you know kua mwenzio mapenzi ni genuine... It takes time for sababu wengi wapo na wapanzi wao sababu ya vitu kama, labda mali, fedha, umri, show off, kulipiza kisasi, au vyovyote (as per your say); Thatis when such facts have to be applied...

Na umegusia ya muhimu saana... Kwamba kama Mpenzi wako is seeking for constant ukaribu na rafiki/nduguyo inabidi ujiangalie mhusika kwanza..... Sasa hio statement yako hapo kua unataka tuzidi toka na akina Mwali et al... Does it mean tayari tuna tatizo na huoni raha mpaka na wao wawepo?

Kwenye mabano... Delivered!
 
What else can u do sisy....sema kwenye hii ishu wahanga ni kina nyie.....huwa nawaonea huruma tu...

Vin hii mbona hua yatokea saaana hata wa kaka? thou nakubali kua wanawake ndio waongoza kwa kweli.... Sad.

mara nyingi sana inatokea hii, na wahusika wanaweza kufa na tai shingoni

Shantel nimefurahi kukuona..... Ningefurahi zaidi uongeze maelezo zaidi for further clarifications...
 
VD, wahanga wanaume wapo aisee! Trust me, na inakuwa mbaya mara dufu! Unakuja na Kaizer home, wife kila siku anamuulizia. Akipika wali wa nazi anakuambia mpigie Kaizer apite ale..., akipika vitumbua ama maandazi anakuambia Kaizer anapenda kweli maandazi ya nazi, hivi yupo? Na mwisho utaskia gari ilinizimikia na shem Kaizer akaja kunisaidia. Halafu unakutana na Kaizer hakuambii chochote, mweh! Nyie ndo huwa mnaumia zaidi aisee!

We Wifi King'... Are you indirectly alerting me? :shock: :shock: :ballchain:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom