IS your LOVE safe??? SHTUKA!!! Lol

IS your LOVE safe??? SHTUKA!!! Lol

Kaka, taratibu basi! Unajua wifi anasoma haya yote :eyebrows:
Ukilazwa kwenye kochi ama basement mie usinitaje aisee!
Kazi kwako ( umeacha siku hizi kumuunga mkono nanilii?)😛oa
King,,,,,hakuna option ya kugonga like mbili, ila ya kunlike tu....:A S-coffee:
 
nah nah wifi! ni mfano tu! unaona sasa umeanza kukimbiza kivuli chako, sasa hata ukibadili direction chenyewe ndo kinaanza kukufukuza😛hoto:
We Wifi King'... Are you indirectly alerting me? :shock: :shock: :ballchain:
 
he he he! Kaka, hujaambiwa tu na Vin, mkewe huwa anakuulizia sana
But in a good way,lol!
Ila tukubaliane kitu kimoja, wakati ambapo mahusiano ni mazuri sana kwenye ndoa, na hujawahi kuharibu kunakuwa na higher level of comfortability. Insecurities zinaanza ambapo kunakuwa na known reasons za kuogofya, pengine unakuta mwenzio kile kizibio chake hakifungi hadi mwisho na yuko prone to accidents.

Wifi, ilikuwa mfano tu. Ningemtaja mwingine najua manundu ningetolewa hapa, 😛oa
Aisee....we King wewe......:A S-coffee:
 
Za siku Asha?za kuntupa? Nasikia ka harufu ka wivu kwenye hii thread,lol!
 
AshaDii aksante mamii kwa hiki kipande maana ni kweli yanatokea kabisa. Yalishanikuta isipokuwa kwangu kulikuwa na element moja ambayo iko opposite na yako. Wao walipretend kuwa maadui!! Kabisaa na hata mtu wangu alifikia hatua ya kunipiga marufuku mie kuwa karibu na huyo mdada ilhali huyu mdada naye kila akiniona na huyo chalii ananinunia hata salamu7 kuitikia inakuwa kazi na tunapokuwa na yeye tu heshinambia kuwa hamwamini huyo mkaka! phweee siku nilipowakuta nilishindwa hata kupumua, nikaishia kuwafungisha ndoa ya mkeka kimoyomoyo.

aaaiseee!!
Duh!! Source; Biggie

MJ1 Niharakishe kwanza kusema pole.... Niliposoma post yako hii... Nimechukua several moments of imagining the situation.. Dah! Kweli yataka moyo... Nimeshindwa maneno ila kwa ruhusa yako naomba niiongeze kwenye original thread.... Bado nipo ku comprehend the shock hapa....
 
nah nah wifi! ni mfano tu! unaona sasa umeanza kukimbiza kivuli chako, sasa hata ukibadili direction chenyewe ndo kinaanza kukufukuza😛hoto:

mmmh! Haya mambo haya bora tu kuya face... Nimeuliza umesema ni mfano... Roho yaendelea na normal pace....lol
 
Za siku Asha?za kuntupa? Nasikia ka harufu ka wivu kwenye hii thread,lol!

Mambo B'... Siwezi kukutupa bana... Tatizo lako toka uingie anga za Eliaza wa Tegeta umepotea kabisa! lol.... Niambie kwani uongoa hayo?
 
aaaiseee!!
Duh!! Source; Biggie

MJ1 Niharakishe kwanza kusema pole.... Niliposoma post yako hii... Nimechukua several moments of imagining the situation.. Dah! Kweli yataka moyo... Nimeshindwa maneno ila kwa ruhusa yako naomba niiongeze kwenye original thread.... Bado nipo ku comprehend the shock hapa....

Ah dada ilikuwa zamani kiasi but ajabu ya binadamu, they are still my friends!! uh na mkaka nilikujamsamehe mapenzi yakaendelea mpaka nilipokumbwa na mengine, na mengine na mengine zaidi ndipo ujunga uliponitoka na kugundua kuwa haikuwa rizki yangu. Nikaufunga mlango.!

But nilishaisamehe na ndio maana ninawezaizungumzia siku hizi. Otherwise ilikuwa ni ngumu kwa kweli.
 
Shem naomba tuwe maadui....
 
MJ1 Uliweza samehe hilo?? Kweli unastahili kupongezwa kwa ustahimilivu.... katudia makosa mengine tena na tena na tena... But you still stick to the guy hoping and praying atabadilika... Ni mara chache hata hivo kua hutokea akabadilika. Asante kwa kushare na kuweza kufunguka Dear... Kitu kama hiki ni ngumu ku admit aisee!! Naomba kujua kua bado ni marafiki wa karibu na both of them... ama ile tu ya kishakaji?
 
Shem naomba tuwe maadui....

Shem umemsoma hommie? yaani yeye hana shida kabisa, hatuna hata haja ya kua maadui tupo huru kabisa mradi niwe naheshimu mahusiano yetu...lol... Alafu shem uadui hauombwi....
 
Ni marafiki wa kishkaji tu, si kama zamani ingawa huyo mdada ni wale ambao hadi wazazi wetu wakawa marafiki!! Am sure ingekuwa kipindi kile nisingeweza share kwani nilikuwa ni muumini wa kile mnachoita second chance! kuwa akikukosea msamehe, mwonyeshe upendo zaidi iko siku atakuthamini lol. Unfortunately huyu ananithamini sasa wakati ishakuwa too late. Nway but ndo maisha ambayo najivunia kuwa na mfano wa somo kwa wadogo zangu ambao ndo kwanza wanachipukia mapenzini.

Nyumbani kwangu nimekuwa Muhubiri wa Mapenzi loh hadi nahizi nikiingia ndani wananong'onezana ...ohoooo love preacher keshafika.... hadi nawabore kwa kweli.
 
MJ1 Kila alie pita hapa wengi wanasema kua hayajawakuta ila ni kweli kua wameona.... Nimefurahi kua umetoa your own experience (na a word from you ina uzito for mara nyingi waongea ya msingi na yalo valid); Kwa muktadha huu mimi naona unakubaliana kabisa na mimi kua ni muhimu kuchukua hizo precautions.... Wengi wanashindwa kutofautisha ile "Ku-observe" na "Kufuatilia fuatilia"...

sasa hebu genuinely niambie Dear... Imagine huyo alikua ni rafiki wa karibu hadi wazazi kufahamiana.... Unataka niambia waweza kuja trust rafikio na kujiachia kabisa amzoe mpenzi wako? yaani hata kama wamuamini vipi... naona inakua ngumu hata kama yalipita na ulisamehe... au nakosea?
 
Shem umemsoma hommie? yaani yeye hana shida kabisa, hatuna hata haja ya kua maadui tupo huru kabisa mradi niwe naheshimu mahusiano yetu...lol... Alafu shem uadui hauombwi....

Hahahaa....nimeona, najua hommie hana maneno, wala hasilikilizi majungu...
Huu wa MJ1 nadhani uliombwa....:juggle:
Au sio Mjukuu mtiifu wa kudumu? Walianza kwa kuombana uadui.....

MJ1 Kila alie pita hapa wengi wanasema kua hayajawakuta ila ni kweli kua wameona.... Nimefurahi kua umetoa your own experience (na a word from you ina uzito for mara nyingi waongea ya msingi na yalo valid); Kwa muktadha huu mimi naona unakubaliana kabisa na mimi kua ni muhimu kuchukua hizo precautions.... Wengi wanashindwa kutofautisha ile "Ku-observe" na "Kufuatilia fuatilia"...

sasa hebu genuinely niambie Dear... Imagine huyo alikua ni rafiki wa karibu hadi wazazi kufahamiana.... Unataka niambia waweza kuja trust rafikio na kujiachia kabisa amzoe mpenzi wako? yaani hata kama wamuamini vipi... naona inakua ngumu hata kama yalipita na ulisamehe... au nakosea?

Ni kweli mamii kuwa kuna umuhimu kabisa wa kuwa 'macho' na mali zako. na mara nyingi sana kwa mwanamke ambaye anampenda mpenzi wake atamlinda na kuhakikisha kuwa anamprotect hata na majinamizi ya ndotoni. Nakumbuka kuna siku nilikuja na mada juu ya haki ya mwenzi ni nini (siikumbuki title yake) but maudhui ilikuwa wewe kama mpenzi wa mtu ni kipi una haki ya kukikemea na kipi huruhusiwi. Niliuliza hivyo kwa kuwa nilispot mapungufu yangu mimi katika suala zima la mahusiano. Kuwa nilimwachia sana uhuru wake yaani nilisema yuko huru kufanya lolote ilimradi ajue alifanyalo na halitakuwa na madhara katika mahusiano yetu. But nilijiprove wrong kwani sometimes men are just men (Nikiwa kama mwanamke nazungumzia upande niuelewavyo). Wanakumbwa na vishawishi na sometimes wanashindwa kujizuia kuvishinda (hasa wakikutana na maguberi yaliyokubuhu) kuna umuhimu sana wa kuwapprotect na haya majaribu kama unampenda.

Nakubaliana na wewe kabisa.
 
Hahahaa....nimeona, najua hommie hana maneno, wala hasilikilizi majungu...
Huu wa MJ1 nadhani uliombwa....:juggle:
Au sio Mjukuu mtiifu wa kudumu? Walianza kwa kuombana uadui.....

Hapo blue hana lolote huyu....lol... Sababu tu ajua nampenda kupita maelezo... thus confident na haumizi kichwa....lol

Sasa hapo shem (kwa MJ1) naona hu happen kama wasaliti wana mafilinigi (hata kama matamanio tu) kati yao... Kwetu it wont work ujue... maana hatuna hayo mafilingi...:eyebrows:
 
Sweetie, Katika mahusiano mengi ya sasa hivi... watu wengi wamekua ni matapeli wa Wapenzi ijapo to the people close to them. Tokana na ukweli huo wewe kama mhusika mmoja wapo wa kua na Mpenzi ambae you are still nurturing that trust... Nimuhimu saana kujua hayo ili kuepusha kitu ambacho maybe kiko wazi toka mwanzo. Kama ulivo sema mwenyewe hapo Sweetie kua kama Mpezi wako wampenda kweli, lazima utaheshimu hayo mahusiano na the bounderies with those ambao wako karibu.... But ni kweli wewe waweza penda kweli but how would you know kua mwenzio mapenzi ni genuine... It takes time for sababu wengi wapo na wapanzi wao sababu ya vitu kama, labda mali, fedha, umri, show off, kulipiza kisasi, au vyovyote (as per your say); Thatis when such facts have to be applied...

Na umegusia ya muhimu saana... Kwamba kama Mpenzi wako is seeking for constant ukaribu na rafiki/nduguyo inabidi ujiangalie mhusika kwanza..... Sasa hio statement yako hapo kua unataka tuzidi toka na akina Mwali et al... Does it mean tayari tuna tatizo na huoni raha mpaka na wao wawepo?

Kwenye mabano... Delivered!

no...it doesnt mean that sweetie....It means that we need them ..as friends....lol
 
Ni kweli mamii kuwa kuna umuhimu kabisa wa kuwa 'macho' na mali zako. na mara nyingi sana kwa mwanamke ambaye anampenda mpenzi wake atamlinda na kuhakikisha kuwa anamprotect hata na majinamizi ya ndotoni. Nakumbuka kuna siku nilikuja na mada juu ya haki ya mwenzi ni nini (siikumbuki title yake) but maudhui ilikuwa wewe kama mpenzi wa mtu ni kipi una haki ya kukikemea na kipi huruhusiwi. Niliuliza hivyo kwa kuwa nilispot mapungufu yangu mimi katika suala zima la mahusiano. Kuwa nilimwachia sana uhuru wake yaani nilisema yuko huru kufanya lolote ilimradi ajue alifanyalo na halitakuwa na madhara katika mahusiano yetu. But nilijiprove wrong kwani sometimes men are just men (Nikiwa kama mwanamke nazungumzia upande niuelewavyo). Wanakumbwa na vishawishi na sometimes wanashindwa kujizuia kuvishinda (hasa wakikutana na maguberi yaliyokubuhu) kuna umuhimu sana wa kuwapprotect na haya majaribu kama unampenda.

Nakubaliana na wewe kabisa.

Mwanajamii1 I Love this post.... kuna wadau hawanielewi kabisa humu ndani.... Hapa inatakiwa apite asome Sweetie, Ngabu, Mwali, na King' ambae ananicheka kua nina wivu saana....lol

The best way of learning ni through experience... Mimi naamini kua sometimes ukimuacha huru saaana a guy kua you are so understnding, sometimes aweza kupa ma pressure ambayo ungeweza epusha. Take note kua a guy treats you the way you want to be treated. Hata kama upo understanding, inabidi uoneshe your understanding mpaka wake ni upi, for sometimes aweza fanya vitu ambavo wewe mwenyewe umeruhusu na ukabali walalama hali umeruhusu. Abiria chunga mzigo wako bana! lol
 
no...it doesnt mean that sweetie....It means that we need them ..as friends....lol

Lov' I need them to be friends too.... But from afar.... If you know what I mean, hasa tena baada ya kumsoma MJ1! lol :biggrin:
 
Back
Top Bottom