Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,363
- 1,135
Hapo in blue.... Umeongea kweli kabisa... Kikumbwa haitakiwi ikithiri na kuvuka Mpaka! Yatakiwa iwe nurtured na ni vitu ambavo katika relationships ni muhimu ku observe.... Napenda nitolee mfano wa mtoto mdogo. Tunapokua na mtoto mdogo nyumbani hua kila siku unaangalia kama there are any abnormal signs, kama kumshika joto lake, kuangalia choo anachotoa, kuangalia attitude yake je ni wafuraha lakini kapoa? na the like... Precautions za muhimu ili kuepusha anything major ambayo yaweza happen.
Pls you will hav to forgive if am off topic ... or we shouldn't do it here!! ... You know am obsessed with emotional and psychco thing eh? ...Lol
Have seen many times ... how you use term ..OBSERVATION ... au huwa uansema KU OBSERVE .... Just curious unamaanisha nini ...Lol ...