BRO LEE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2011
- 837
- 628
Uzi mzuri sana hongera kwa kutupa angalizo.
Wanaume walio makini, mara wanapoanza uhusiano na mwanamke huanza kukata/kupunguza mawasilano yake na wanaume wengine(wawe marafiki au wale ndugu wa kuunga unga) kwa kutumia ushawishi, ili kuwe na kichwa kimoja kinachotoa maamuzi au ushawishi.
Kazi huwa kupunguza marafiki wa kike wa bibie(mashoga), km mwanamke ni m2 wa kampani lazima kutakuwa na rafiki mkubwa(msiri) ambaye huyo kumtenganisha na bibie ni kazi kweli kweli. Na huyo ndo hasa anaweza akawa anashirikishwa katika uhusiano km m2 wa 3.
Sasa inawezekana mwanaume akawa huru na huyo "shemejie" na ndo hapo inaweza kutokea kuvutiana kwa maana mwanaume anaweza akaanza kujisikia comfortable akiwa nae, labda ni muongeaji kuzidi mpenzie, mcheshi nk. Sasa kitakacho fuata...!!
==Hali hiyo pia huweza kutokea kwa upande wa mwanaume, wengine wanaita rafiki wa "kushibana" hata jamaa akisafiri anamwambia nakuachia shemejio.!!==
Kuna rafiki mmoja wa kushibana alipoachiwa mji alinde C akaanza kutoa huduma zisizomhusu!!