Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,242
Yeah' I mean you.... Shtuka! lol
Karibu mpenzi..naona umerudi sasa rasmi...lakn naona una majonzi ya whitney..pole.
Yeah' I mean you.... Shtuka! lol
Karibu mpenzi..naona umerudi sasa rasmi...lakn naona una majonzi ya whitney..pole.
Asante Dearest.... ni kweli nimerudi na nashukuru am good. Kifo cha mwanadada/mama whateva... kimeniuma... Nilikua nampenda mno! Ngoja nikupigie simu nikuimbie walau wimbo mmoja.....
Halafu ni maji ndo yamemuua...yani kweli inasikitisha lakn ni mambo ya Mungu...am waiting for the song....
Lakni si walisema alibadilika(i mean aliaacha drugs???????)...Kifo chake kimesikitisha... hata hivo maisha yake mie naona yalikua yanaelekea kubaya as time goes on.... Haya maisha only The Lord knows of our demise kwa kweli.... Wimbo nitakupa "where do broken hearts go?" a wonderful heart breaking song to give you hope in Love hata kama huna wa uhakika....
Lakni si walisema alibadilika(i mean aliaacha drugs???????)...
Asante kwa hilo songi lakn hapo kwenye red usije kuwa una-refer shemejio...
Hapana dear... alijaribu saana kuacha but it seems kila alipoacha ali lapse... Hapa juzi kati ali brag hadharani kua she has been liquor and drug free since 2013?? Imagine.... Yule shemeji yangu najua kua dawa yake ni ndogo tu... wewe uje tutete... saizi nasikia kakuletea second wife Kongosho....
nadhani wanawake kama kuna kaugonjwa hv.wasichana wengi sana wanapenda sana wapenzi wa marafiki zao.sijui ni wivu sijui ni labda unavomuhadithia mazuri ya mpenzi wako na yeye anatamani kufaidi kiukweli i dont know why?
Mi mi personaly siku moja nilikuwa na rafiki yangu wa kiume ni class mate since o level hadi college ni rafiki yangu sana sana yupo na mwenzake wa kiume pia huyo mmoja tumezoeana zaidi na huwa ananiita mpenzi kiutani lakini basi huyo rafiki yangu anakaa urusi alikuwa amekuja holiday siku moja wkend akaanza kumsumbua mkaka amtoe out basi yule akanipitia kama kawa akaniambia na rafiki yako amesema tumpitie basi alikuwa na noah mi nilikuwa nimechoka nipo nyuma alivokuja paleyule mdada akamshika yule mkaka akaanza denda sijui mnaita kijana anajitaidi kumtoa cause si nilikuwa nyuma pale nawatch movie.............................. Nakuja