IS your LOVE safe??? SHTUKA!!! Lol | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IS your LOVE safe??? SHTUKA!!! Lol

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by AshaDii, Jan 11, 2012.

 1. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180  "Habari zenu wana MMU"


  Siku nyingi jamani... Hoping tu wazima wa afya na that the Holidays where Great!


  Kawaida a couple hua watamaniana pendana na hatimae kujikuta ni wapenzi katika urafiki (yaani Gal friend/boy friend) ama ndoa kabisa. As time goes on Mwamaume/Mwanamke humtambulisha mpenzi wake kwa watu wake baadhi wa karibu kama rafiki/ndugu ama jamaa. However kuna ile tabia ya kusema kua mmoja wa hao marafiki/ndugu ama jamaa huwa karibu zaidi na Mpenzi wa mhusika kuliko wale woote aliowahi tambulishwa..... Which in most cases is convinient and neccessary.

  LAKINI kuna wakati yule mtu ambae ndio wa karibu yenu as a couple (yaani rafiki ulie mtambulisha kwa Mpenzio) anakua karibu saana na Mpenzi wako huyo. Sometimes kupita kiwango ambacho yatakiwa iwe.... Yaani hao mtu na shemejie waweza dondokeana... either kwa kupenda ama tu bahati mbaya bila wao kujua ama wao kujua.....  The following ni baadhi ya viashiria ambavo wawez observe....  • Mpenzi wako anamzungumzia rafiki/ndugu yako kila mara mnapokua woote? Iwe faragha.... iwe katika maongezi ama popote pale... Mara ooh "D" hivi mara oooh "D" vile... mara analisema hiki mara kile na the like...  • Unagundua kua hua waonana mara kwa mara... mara for lunch, mara shopping, mara movie watching , mara kutembeleana... Yaani ili mradi it is convinient for them to meet; they do meet bila kujali kwa frequency ipi na wala kua haupo wewe mhusika mkuu...


  • Wapo more than comfortable wakiwa pamoja..... Yaani very relaxed together. Hii waweza zaidi wasoma wakiwa kwa mbali. Mfano labda mna outing, wewe kama mhusika nyanyuka kuenda washroom OR labda kuagiza vinywaji... Kwambali wawaangalia wapo so deep in conservation... oblvious of the exsting world and people around them... Waweza chelewa several minutes kurudi pale mezani but wasi notice (if they do baaada ya mda nayo out of guilt of their pleasure)


  • Huyo rafiki yako wa karibu (hata mpenzi wako) anataka kila mtokapo nae awepo kama third party... Tena hata siku moja haji na plus one wake (or anakua wakubaraguza tu kupoteza lengo). Kokote kule nae aambatane kana kwamba kwamuhusu kote. Kila Mpenzi wako anapokusisitiza tuende na rafiki yako – ukimtafuta yupo soo ready na ataacha lolote lile.... ili mradi tu nae aje na nyie as a couple.


  • Rafiki yako yupo weird... Hapendi kabisa aongelee mambo ya mpenzi wako, OR kila saa anataka aongelee mambo ya mpenzi wako huyo. Yaaani hachoki, sifa kibao! Mara anafaa... mara wa ukweli... mara mara haziishi yaani! Ni kweli kuna ile wamsifia Mpenzi wa rafiki yako... But I do believe there are some limits to it. Hio yaweza hata kua pande zoote mbili; kwa mpenzi wako na rafiki yako pia.. Mpaka you start wondering hivi nisipokuwepo na mimi natajwa hivi hivi? Lol On top of that unakua unapokua na Mpenzi wako ama huyo rafiki yako ana details za Mpenzi/rafiki yako hata wewe hujawahi sikia kabisa!

  An addition... Courtesy ya Mwanajamii1


  Kama nilivosema hapo juu... Hizo ni baadhi ya viashiria... kama wewe unaepita hapa iko hivo... SHTUKA!! Kama kawa naomba ushirikiano wenu katika mada hii tuweze ongezea, punguza na rekebisha pia.  Pamoja Saana...:grouphug:  AshaDii.
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Sijui niwe wa kwanza kusema? Naruhusiwa?
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Asante kwa uzi huu mzuri, sasa vijana mchu nge mali zenu.
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Kwanini usiruhusiwe Kid sis? lol.... Karibu saana Dear....
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Kongosho dear.... naomba uache kuniletea pozi....lol... Hebu
  ongeza bana, noamba utumie ujuzi wako.... Pleeeease!

  Thanks for the acknowledgement dear....
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  dahhh
  Thread nzuri sana..
  haijawahi kutokea kwangu au kwa mtu
  yeyeto wa karibu yangu ..kusoma tu kwenye magazeti ya udaku
  kwa hiyo sina mengi ya kusema.... siku njema.
   
 7. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  he he..Acha nishtuke!..Gracias AshaDii
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Thanks for the acknowledgement dear... ila tu naomba nigusie kua mara nyingi saana wahusika (yaani wewe ambae ndie original na uliwatumbulisha) hua wanakua hawajui kabisa... Waweza kuta observers wame notice lakini yeye hata habari hana for adhanii.... Hata hivo hongera kwa kukwepa hico kikombe.....
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Hey! The gal with em' lips.... Nimefurahije kukuona? lol
  salamu nilipata BJ bado feed back tu Dearest....

  B2T washtuka nini mrembo? lol Alafu uje uongeze ujuzi hapa bana!
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nadhani wanawake kama kuna kaugonjwa hv.wasichana wengi sana wanapenda sana wapenzi wa marafiki zao.sijui ni wivu sijui ni labda unavomuhadithia mazuri ya mpenzi wako na yeye anatamani kufaidi kiukweli i dont know why?
  Mi mi personaly siku moja nilikuwa na rafiki yangu wa kiume ni class mate since o level hadi college ni rafiki yangu sana sana yupo na mwenzake wa kiume pia huyo mmoja tumezoeana zaidi na huwa ananiita mpenzi kiutani lakini basi huyo rafiki yangu anakaa urusi alikuwa amekuja holiday siku moja wkend akaanza kumsumbua mkaka amtoe out basi yule akanipitia kama kawa akaniambia na rafiki yako amesema tumpitie basi alikuwa na noah mi nilikuwa nimechoka nipo nyuma alivokuja paleyule mdada akamshika yule mkaka akaanza denda sijui mnaita kijana anajitaidi kumtoa cause si nilikuwa nyuma pale nawatch movie.............................. Nakuja
   
 11. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mhhh AshaDii asante sana kwa thread nzuri
  Japo haijawahi nitokea ila sina ubishi hapo kuwa something fishy kinakuja hapo kati yao hao
  Ila ngoja kwa wale walikwishayaona waseme
  Ila hapo ishawahi karibia kuvunja ndoa ya mtu
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Sred nzuri sana mpendwa. Ngoja nianze kujifanyia uchunguzi then ntakujibu kama ni safe or not... Asante kwa kutushtua wifi.
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280

  lol rudi umalizie ,weh
   
 14. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hata ka kusoma sijui,sitashindwa hata kuitambua picha tu.

  thanks AD.
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  In blue daima wadada tunataka a man who treats you right.... And if your Man treats you rite hasa mbele ya rafiki zako then believe me you waweza kuta kundi zima la rafiki zako wako in Love with your man.


  Hio para ya pili sijaelewa... Yaani rafiki yako alimdandia mpenzi wako na denda juu?
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kwanza kabisa chukua like hiyo....

  ndo maana sitaki mwenza wangu kuzoeana na marafiki zangu kivile. Pia mpaka uwe rafiki yangu ujue nimekusoma haswa, hawa marafiki wa kimjini mjini sitoki nao, wala sitawafanya wamzoee mwenza wangu. Na wala hawatasikia nikimwongelea mwenzangu kwa mazuri au mabaya.... Pia kuna limit ya mazoea kati ya rafiki na mwenza wangu, akijishaua kumjua sana nampasha hapo hapo wala sirembi mie....


  nilishaumwa na nyoka nikiona majani tu nashtuka.


   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  R' one thing you should note.... Wengi saana watasema kwao haijawahi watokea.... WHY? Kila mmoja hupenda aonekane Soooo exceptional kwa Mpenzi wake to the extent haamini yaweza tokea kwake na wala hata hataki sikia habari ya ku-observe (which is good I think....lol); Hapa wengi tutagungua hua yatokea kwa wenzetu more....
   
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  alidhani ni mpenzi wangu? Mimi mpenzi wangu huwa simtambulishi kabisa hadi nimhakikishe ni realy kabisa sasa hamna ambae alishawai kufikia hatua iyo wote wanapotelea njiani
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180  You sweet wifi of mine.... Hebu acha mchezo njoo uongeze maujuzi hapa.... Alafu najua wampenda kakangu vere vere.... lol Wee huwezi haya...
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Mikatabafeki... Thanks dear....

  Hata hivo naomba nipe mawazo yako... Ushawahi ona mahala? Ishawahi kukutokea... na the like.... Karibu Mkuu...
   
Loading...