Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Missile of the Nation,
Kaka kwenye vita huwa hamna cha taifa wala nini, ni kama ukiingia bar na ndugu yako halafu ghafla ugomvi uibuke baina yake na watu humo, hapo ulipo upigwe ngumi, utaingia kwenye ugomvi halafu baadaye ndio utahoji ilikuakuaje.

Mashambulizi ya Iran hayampigi Trump, yanaua wanajeshi Wamarekani, watoto wa Marekani, hapo tegemea full war. Ndio kama ilivyokua kwa Hitler, sio Wajerumani wote walitaka vita ila hapakua na jinsi.

Nenda kwenye mitandao ya kijamii uone Wamarekani, Warusi, Waarab, Wapakistani n.k. wanavyogombana humo, yaani wao tayari walishaanza kupigana full matusi na chuki.
 
Juma la mwisho as kwa week??



Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio kama wiki kama wiki ya kawaida, huu ni muda wa kiunabii, ambao siku moja nisawa na Mwaka mmoja.

Hapa kuna majuma 70 ..... Yakagawanya ktk majuma 69 ya kwanza..na Juma LA mwisho linaloitmisha 70..

Ni somo refu Mkuu ...mpaka nitulie nikueleze kwa ufasaha.


Ila nimambo ambayo ukiyajua , ukasoma Biblia vzuri, huwez shangaa nakinachoendelea leo Duniani.
 
SAFI ..NA HUU NDIO UKWELI...


Mimi sio mtalaamu sana wa Maandiko na Tabiri, Ila katika kujifunza ,

Inaonyesha tupo Juma LA Mwisho la kuishi kwa Mwanadamu.

Hesabu hazidanganyi.
Maandiko yametabiri Marekani itaangushwa na Irani,Kisha Irani itakua dola yenye nguvu duniani kwa muda Kisha itaangushwa na North Korea,tukiangalia maandiko Marekani Ni mwisho wake umekaribia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Superbug. Labda nikufamishe hili
Tutolee upuuzi wako wa kisabato
Mambo yote haya unayoyaona Hapa Duniani, yanatokea sababu yameandikwa ndani ya Misingi ya Maandiko matakatifu..wala hayatokei kama Miujiza au kwa mipango yawatu, watu wanasaidia tu kukamilikwa kwao km yalivyoandika.





Turudi kwa Mada,, Iran ndo ivo keshashambulia ... Tutarajie nn???
 
Cha kusikitisha zaidi mataifa yote mawili hayapigani kwenye ardhi za nchi zao, bali wanapigania Iraq ambapo tayari Iran inaamini kwamba ni Marekani ndogo baada ya Marekani kuihodhi Iraq kwa kisingizio cha kuijenga upya na kulinda amani.
Mwisho wa siku wa Iraq ndio hasa watakao athirika na hii vita ya mafahari wawili.

By the way, mbona Marekani iliwaondoa wanachi na majeshi yake yote huko Iraq?

Sasa Iran anapo shambulia vituo vya Marekani ilhali tayari Marekani iliwaondosha watu wake, Je hapo Marekani ana athirika vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi la Iran limechakaza kambi mbili za kijeshi za Marekani zilizoko Iraq ya Irbil na Al asad, Pentagon imeripoti. Bado haijajulikana madhara yaliyosababishwa.

`Tuna taarifa za kushambuliwa kambi zety huko Iraq, tayari Rais ametaarifiwa na anafuatlila kwa karibu na kushauriana na Baraza la usalama la Taifa, amesema Msamaji wa Ikulu ya White house Stephanie Grisham'

Jeshi la Iran limethibitisha kuhusika na mashambulizi hayo na kusema ni kulipiza kisasi kutokana na kuuawa Jenerali wao Soleiman na jeshi la Marekani baada ya amri ya Rais wa Marekani.

Shambulizi hili limetokea baada ya kuzikwa kamanda wao Soleiman.

Iran attack: US troops targeted with ballistic missiles Iran targets US troops with missile strikes

Source: BBC NEWS
 
This is an extremely dangerous escalation,ngoja tusubiri response ya mataahira wa Marekani na Israel.Naamini this is what they were looking for, nafasi ya kuanzisha a “catastrophic and catalysing event,”
na sasa wameipata.The response I believe will be very disproportionate.Tukumbuke kwamba Iran ilikuwa kwenye ile list ya nchi ambazo zilikuwa zisambaratishwe na Marekani ikishiriana na Israel.Zingine ni Afghanistan,Libya,Syria,Iraq,Sudan na Somalia.Taarifa yenyewe from Press TV ni hii ifuatayo!


IRGC targets US airbases in Iraq in response to assassination of General Soleimani

Tuesday, 07 January 2020 11:42 PM [ Last Update: Wednesday, 08 January 2020 3:00 AM ]

This is a still image from an Islamic Republic of Iran Broadcasting video shot on January 8, 2020.It shows rockets being launched from Iran against the US military base in Ain al-Assad,Iraq.
Iran’s Islamic Revolution Guards Corps (IRGC) has targeted the US airbase of Ain al-Assad in Anbar province in western Iraq after launching a wave of attacks to retaliate the US assassination of top Iranian anti-terror commander, Lt. Gen. Qassem Soleimani.
“Tens of surface-to-surface missiles” were fired at the strategic airbase and the attack was later confirmed by the US officials.
The IRGC has called for a complete withdrawal of US troops from the Arab country, asserting that it would not differentiate between the US and Israel in retaliating against the assassination of the Iranian national hero

Kwa wanaotaka taarifa kamili kuhusu mikakati hii kuhusu nchi lengwa wafuate link ifuatayo.



.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom