Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 3,623
- 9,271
Naona tuyaweke kwenye 'belief' tuMadam hivi maombi ni intuition au inakaa wapi...
Naona tuyaweke kwenye 'belief' tuMadam hivi maombi ni intuition au inakaa wapi...
Ngoja niendelee kumeditate tu mkuu.... mtoa maada anatakiwa aweke na third eyeAvatar yako na comment yako nadhani vimeshajibu hilo swali, ila kuna ambao watakaokuuliza majibu yake
Imagination inakuaje intuition mkuu?Kwani sauti ya ndani inatoka wapi,utajikuta hata sauti ya ndani inatokana na uzoefu wako na mitazamo yako juu ya masuala tofauti tofauti.
Imagination is powerfull than knowledge.
Imagination =intuitions
Knowledge =reasoning
😅😅Mbona tena kama intuition na belief zinaingiliana😂😂dah
Umeambiwa biashara ya nguo iringa ni rahisi ukiwa na fremu.Meaning I should use the information that I have why not reasoning
Kaka nakutafuta kwenye pm inagoma dondosha namba mazeendy na vile nafanyaga meditation kwang bora intuition kuliko reasoning
Mbona kama vile ntatumia reasoning na intuitionUmeambiwa biashara ya nguo iringa ni rahisi ukiwa na fremu.
Utaanza tena kuuliza kwanini? Akati tayari umeshakuwa full informed?
Au unaambiwa ukitaka kuzalisha faida kubwa kwenye biashara yako inabidi ujue kuwashawishi wateja.
Utauliza tena kwanini ?
Reasoning banaBiashara inahitaji reasoning au intuition?
We think then we reason😍Reasoning bana
A'ght gotchaMbona kama vile ntatumia reasoning na intuition
Thinking: kufukiriWe think then we reason😍
Ivi kuwaza ndo thinking afu reasoning ndo kufikiri au
Mimi kwa uzoefu wangu hivi vitu viwili vinafanya kazi kwa wakati tofauti huwa havikai pamoja na haviingiliani.Nje ya mada au tufungue kanisa tupige hela bro 😅
Ndani ya mada
Sauti ya ndani mimi nimeupuuza mara kadhaa na kuishia kukosea
Ndio maana nauliza wadau
Je intuition na reasoning ni kipi kitangulie au vinafanya kazi kwa pamoja
Shukran sana mkuuLazima tujue kwamba Intuition sio hisia kuna tofauti kubwa. Kusikiliza Intuition pia sio kila mtu anaweza, kama unaweza kuisikiliza na kuitenganisha na hisia zako hii huwa haidanganyi.
Watu wengi tunapenda reasoning sababu unaweza kuwajibika kwa matokeo yake (yani nafanya hiki kwa sababu hii na natarajia matokeo haya).
Intuition yenyewe haina sababu, haiachi kukwambia jambo, ukiiipuza siku likitokea la tofauti ndo unakumbuka aah lakini kuna kitu kiliniambia nisifanye hii. Na inaua reasons zako zote zilizofanya ufanye hilo jambo.
At the end "Fuata moyo wako, usisahau akili yako"
Mkuu nipo pamoja na wewe kwangu mimi naona au naamini intuition ndio muongozo bora kabisa wa mambo mengi sana kwenye maisha yetuWatu wengi hapa watakwambia reasoning but trust me, reasons zinatokana na experience yako katika maisha haya tangu umezaliwa hadi leo so always inabase kwenye uzoefu ila sauti ya ndani ni sauti halisi coz ni kitu ambacho kimekuja bila hata kukiplan na wala huwezi elezea ila unajikuta tu nafsi or whatever inakua nzito kwenye kutenda jambo au inakushawishi utende jambo fulani ambalo hata hukuwa unaliwaza.
So sauti ya ndani ndio sauti halisi na ndio sauti ambayo kimsingi unatakiwa uizingatie sana coz ndio pekee inayokuunganisha na nature.
Si uwe mchungaji tu mumyBinafsi kwa % kubwa intuition yangu inakuja na confirmation ya nilichokuwa nakiwaza
Ningekuwa mtu wa dini sana ningekuwa nasema naongozwa na roho mtakatifu
FactMkuu instinct instinct over intellect if you reasoning things it doesn't mean you correct.
But if you feel it you are correct .
Instinct ndo usahihi na utashi wa mwanadamu ulipo.