🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

Bro unataka kusema sisi wanawake hatuwezi kutumia reasoning?
Mara zote tunatumia intuition?
Ki vipi?
Mara chache tunatumia reasoning, chache sana na sio nature yetu....sisi ni watu wa emotions, bro emotions na reasoning sio ndugu.

Ila intuition huwa ina nguvu na haidanganyi ubaya tu ni mtu hawezi kukuelewa kupitia intuition, ila haidanganyi mara nyingi
 
Intuition ni Divine insights (thoughts) huwa zinakuja kama tatuzi ama suluhu kwa jambo fulani. Na reasoning ni thinking kuhusu Divine insights na hapa ndiko hell inakoanzia.

Hivyo ni vyema kusikiliza Divine insight maana muda huo unakuwa connected na infinite intelligence/ Higher self/ God/ Mungu.
Asante mkuu mi nilidhani labda tuvitumie vyote kwa pamoja
 
Mkuu nimekukubali, upewe medali zako tuu🎖️🏅🎖️🏅.

Just to ask??? Huwa unatumia haya majani(w**d) joking

You are good at reasoning, seems like you got so much time to observe everything that goes around you & you're surrounding. This is the highest level of intelligence someone have. I real like it and love it.

Back to the topic.

Cha kwanza ni INTUITION maana mambo yote huanza ndani ya mtu. ( Mtu ajionavyo nafsini mwake ndivyo alivyo). Kwa hiyo kwa vyovyote vile mtu anavyoonekana nje bhasi na ndani ndivyo alivyo.
Ikiwa mtu alivyo ndani ni tofauti na nje bhasi REASONING yake haipo vizuri.

Binafsi naweza kusema kwamba INTUITION ndio hunipa sababu ya kuREASON.
Hebu ngoja kwanza hayo majani vipi 😅🙌🏼 sijawahi kabisa

Shukran kwa maoni mkuu🙏🙏
 
Kwani sauti ya ndani inatoka wapi,utajikuta hata sauti ya ndani inatokana na uzoefu wako na mitazamo yako juu ya masuala tofauti tofauti.

Imagination is powerfull than knowledge.
Imagination =intuitions
Knowledge =reasoning
No not true imagination sio intuition

Imagination ni mawazo ya picha/uwezo wa kuunda au kufikiria kitu vile unavo taka iwe.

Mfano Unajifikiria ukiwa CEO wa kampuni yako miaka 10 ijayo.

Intuition hisia ya ndani/inayokuja moja kwa moja kwamba jambo fulani ni sahihi, si sahihi, salama au hatari.

Mfano Unakutana na mtu na unahisi tu, Kuna kitu hakiko sawa hapa, ingawa huwezi kueleza mara moja kwa nini.
 
Mara chache tunatumia reasoning, chache sana na sio nature yetu....sisi ni watu wa emotions, bro emotions na reasoning sio ndugu.

Ila intuition huwa ina nguvu na haidanganyi ubaya tu ni mtu hawezi kukuelewa kupitia intuition, ila haidanganyi mara nyingi
Ooh Shukran sana 🙏🙏
 
Back
Top Bottom