🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

Reasoning first.

Kwa sababu unaweza kuwa hata na intuition ya uongo.

Unajikuta unaamini intuition yako kumbe ni mawenge na malue lue tu!

Mwisho wa siku unaingia chaka.

Reasoning first.
Asante kwa maoni
Naunga mkono hoja yako

Sometimes intuition inaweza kukuingiza chaka
Lakini je reasoning na intuition haviwezi kufanya kazi kama couple ili kuleta matokea positive?
 
Asante kwa maoni mkuu
Umesema vinafanya kazi kiutofauti

Lakini je vinaweza kutumika kwa pamoja ili kuleta matokeo bora zaidi?

Of course ili uweze kufanya decisions and to solve problems hivi vitu viwili vinaweza kutumika kwa pamoja na ukapata mstokeo bora.

Intuition hutoa makadirio na hatua ya kuanzia, na reasoning huingilia kati ili kuyathibitisha, kuyajaribu au kuyabatilisha makadirio hayo iwapo si sahihi baada ya huo mchakato Ndiyo maamuzi au tatizo litatuliwe.

So yes vinaweza kutumika kwa pamoja ili kuleta matokeo bora zaidi.
 
Asante sana mkuu
Na ndio maana na mimi nikasema
Intuition pekee haiwezi kua sahihi kwa sababu sio kila sauti inakua nzuri zingine ni negative so bila kutumia reasoning unajikuta umekosea

Kwahiyo naunga mkono reasoning sawa lakini bila kupuuza intuition

Hivi vitu vikiwa pamoja ndio mtu hupata matokeo bora zaidi
Huwezi kuignore intuition. By reasoning maana yake tunarefer emotions ili tufanye maamuzi.

Hisia zinasema nahisi tufanye kitu fulani, akili inasema hiki kinafaha au hakifahi katika namna gani...
 
Asante kwa maoni
Naunga mkono hoja yako

Sometimes intuition inaweza kukuingiza chaka
Lakini je reasoning na intuition haviwezi kufanya kazi kama couple ili kuleta matokea positive?
Reasoning peke yake inaweza kufanya kazi yenyewe independently na ikaleta matokeo positive.

Maana reasoning inahusisha uchambuzi wa kitu au jambo katika pande zote negative side na positive side.

Kisha una angalia tena best option ni ipi.

Sasa intuition yenyewe ni kama kukisia tu bila uhakika. Intuition ina doubts.

Reasoning inaweza kusimama yenyewe.

Intuition haiwezi.
 
Sawa je unapaswa kuamini kila kitu sauti yako ya ndani inachokuambia bila kutumia reasoning?
Inategemea imekuja katika namna ipi ila kikubwa ni namna ya kuitambua sauti yako ya ndani halisi coz sometimes unaweza ukahisi ni intuition kumbe ni feelings tu ambazo zimekuja baada ya kustick kwenye jambo moja kwa muda mrefu.

Na kimsingi really intuition huwa haikupi nafasi ya kuhoji na badala yake utajikuta tu unaifuata.
 
Reasoning first.

Kwa sababu unaweza kuwa hata na intuition ya uongo.

Unajikuta unaamini intuition yako kumbe ni mawenge na malue lue tu!

Mwisho wa siku unaingia chaka.

Reasoning first.
Asa mkuu utakuaje na reasoning bila kuwa na intuition?

It means lazma uwe na intuition itayo kufanya ufikie reasoning!!

Mfano unaweza kuwa na biashara yako lakini ukawa na wasiwasi kwamba kunakitu hakipo Sawa sindyo ? Hii hali ya kuhisi tayari ni intuition.

Then baada ya kuhisi ndo tutafwatia reasoning je naweza amua nini juu ya hali ninayo kuwa na wasiwasi nayo.

Then utafanya decision baada ya reasoning lakini always intuition comes 1st.

ShesRise_1
 
Ni kweli reasoning inatokan na experiences and prior memories zilizopo kwenye akili ya mtu tiyari.

Lakini reasoning ndio engine ya maamuzi kwa mwanadamu, mtu anayeishia kufanya maamuzi based on intuition bila kushirikisha reasoning an nafasi kubwa kufanya maamuzi kutokana na huruka, hasira, au mawazo potoshi nk
Hii ni defensive mechanism ili kuepusha kufanya maamuzi yasiyo sahihi kwa kushindwa kuelewa reality ya hakika.

Ila kama unauhakika ni kweli hiyo ni sauti ya ndani ifuate, hiyo na ndio kitu pekee ambayo huwa inaleta utofauti kati ya wasomi na wale ambao hawana elimu kivile.

Ni rahisi sana kwa mtu ambae hana elimu kubwa kufanikiwa kwenye maisha kuliko mwenye elimu sana.
 
Asa mkuu utakuaje na reasoning bila kuwa na intuition?

It means lazma uwe na intuition itayo kufanya ufikie reasoning!!

Mfano unaweza kuwa na biashara yako lakini ukawa na wasiwasi kwamba kunakitu hakipo Sawa sindyo ? Hii hali ya kuhisi tayari ni intuition.

Then baada ya kuhisi ndo tutafwatia reasoning je naweza amua nini juu ya hali ninayo kuwa na wasiwasi nayo.

Then utafanya decision baada ya reasoning lakini always intuition comes 1st.

ShesRise_1
Kuhisi unaweza kuhisi hata uongo.

Hata kama intuition comes first.

Huwezi kutumia intuition kuamua jambo.

Ndio maana nikasema, ili kupata ukweli lazima utumie reasoning.

Hata kama intuition ndio huanza.
 
Of course ili uweze kufanya decisions and to solve problems hivi vitu viwili vinaweza kutumika kwa pamoja na ukapata mstokeo bora.

Intuition hutoa makadirio na hatua ya kuanzia, na reasoning huingilia kati ili kuyathibitisha, kuyajaribu au kuyabatilisha makadirio hayo iwapo si sahihi baada ya huo mchakato Ndiyo maamuzi au tatizo litatuliwe.

So yes vinaweza kutumika kwa pamoja ili kuleta matokeo bora zaidi.
Shukran mkuu
Sasa ni kwa namna gani ya kuvitumia pamoja bila kimoja kuzidi pengine na kuharibu mpango mzima?
 
Huwezi kuignore intuition. By reasoning maana yake tunarefer emotions ili tufanye maamuzi.

Hisia zinasema nahisi tufanye kitu fulani, akili inasema hiki kinafaha au hakifahi katika namna gani...
Sawa mkuu
Je wewe hua unatumia vyote the same time au umechagua upande
 
Reasoning peke yake inaweza kufanya kazi yenyewe independently na ikaleta matokeo positive.

Maana reasoning inahusisha uchambuzi wa kitu au jambo katika pande zote negative side na positive side.

Kisha una angalia tena best option ni ipi.

Sasa intuition yenyewe ni kama kukisia tu bila uhakika. Intuition ina doubts.

Reasoning inaweza kusimama yenyewe.

Intuition haiwezi.
Kwa maana hiyo ukiwa na reasoning
Huna haja sana na intuition yako

Kwa sababu reasoning inaziba mapengo

Mkuu wewe hutumii sana intuition yako?
 
Intuition huwa n mfano wa taa kwenye njia ambayo reasoning anapaswa kupita.

Namaanisha intuition ni anguko ikiwa huwezi kuifanyia crossing kama TAL😁

Why??
Sababu Kuna sauti tatu ndani yako ambazo zote zina sound the same (kwa mtu ambaye hajui mambo hayo)

Kwahyo lazima uwe na reasoning kabla kujafata kichwakichwa..... kwenye hizo sauti ni moja pekee ndio Gold✍️
Zingine mabalaa matupu
 
Back
Top Bottom