mbn kama unanisema mimiWakitaka kuanza mahusiano inawawia vigumu sana kuchukua hatua ya kwanza hasa kwenye kutongoza ni midomo zege!,Ni watu wenye hofu kuichukua hatua yoyote ile bila kuona usahihi wa yeye kuichukua hatua husika! Ni logics people so kufikia maamuzi kitu kimepangwa kikapangika!.
Wanakuwa disappointed ama wao wenyewe au watu waliomzunguka kutokana na ugumu walionaokuichukua hatua hiyo wengine huwaona kama si binadamu aliekamilika so husemwa vibaya sometime na yakimfikia hujisikia hovyo na huenda akaacha jambo husika.
Tabia pia za mhusika huenda zikamkwaza asichukue hatua ya kuamua kuingia kwenye mahusiano!
Let's say yeye ni mpole ila anatokea kumpenda mtu mwenye gubu,kukurukakara aisee hawapendi hivi.. wao wanapenda utulivu na maelewano.
Kutokuwa karibu na watu huwaleteleza kuwa na aibu,kutokujiamini mbele ya watu hasa jinsia iliyotofauti nae so hayo yanaweza mpatia ugumu ktk kutongoza n.k
Mkuu moja ya usuruhishi wa tatizo ni kulitambua tatizo introvert husubiri mahusiano ila pindi yafikapo huruka mbali😅
Akiweza tambua kuwa ili kupata ushirikiano na watu na kujiongezea kujiamini ni lazima ashiriki na watu hili litamfanya awazoee watu,maana kwanza introvert wana akili nyepesi ya kutambua na pia inaweza mrahisishia kupata mwenza humohumo kutokana na mazoea n.k
Nadedaga Lolo😂😅