Introverts Vs Relationship

Introverts Vs Relationship

Sijui kwanini tupo hivyo, nyumbani nilihakikisha chumba changu kina kila kitu, meza ya PC, TV, DVD, PS3, sometimes even drinks and snacks, siku sina mishe naweza hata kibarazani nisifike. Watu wakija niulzia mwanzo walkuwa wanaambiwa sipo, walivyonzoea wakawa wanakuja niambia kama nina mgeni au la. Shule, watu wakitoka naweza kuwa was mwisho au naenda ila nawahi kurudi nakuwa class muda mrefu. Nna rafiki yangu mmoja alikuwa anantania usipende kukaa peke yako peke yako utajinyinga bure. ila kuna muda tukijichanganya tunawazoea wachache na huwezi jua kama ni wakimya hivyo. Wacheshi pia, na tuko na ujinga mwingi.

Sent using Jamii Forums mobile app

mkuu, mimi natamani hata ninunue shamba kijijini huko nikaanzishe ranch niishi peke angu nilijaribu kujichanganya ila naona watu jau tu
lakini ni kweli ulivosema wakati mwingine tukijichanganya na watu sahihi tuna enjoy sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unaelewaje mtu akisema introverts,unawatambuaje kwa sifa zao? Tuanzie hapo labda tutaenda sawa ila tambua tofauti ya introvert vs shyness
bahati mbaya sikuona hii quote mapema. Nadhani wengi humu wanachanganya shyness au lack of confidence na kua introvert. Ninavyofahamu mimi introverts hawapendi kusocialize iwe kwa maneno au kwa maandishi. Kama huwezi kuongea mbele ya watu ila unapenda kuchat, wewe sio introvert bali ni mtu mwenye aibu!
 
HAPANA sio kweli rudi kasome vizuri tena
 
Aisee nahitaji kusoma huo uzi... Kwa hisani yako mkuu kama una link
Nashindwa kuweka link mkuu ila uzi wenyewe Ni huo.
Jaribu kuutafuta au fungua replies zangu nimeureply muda mfupi uliopita
Screenshot_20200421-112337.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongeraaa sana mkuu na sikuamaanisha hawapo introverts ya type yako ila ni wachache sana
Hapana. Mimi ni mkimya sana lakini nina confidence ya ajabu na sijawahi kushindwa kuzungumza kwenye kadamnasi!

Na nikizungumza kila mtu anashika mdomo kwa mshangao maana hawakutarajia!

People say i look weird and intimidating! They say i behave and talk like a robot!

I might look stupid and dumb. BUT HELL NO, I AIN'T ONE!

I am not bragging, but surely i outsmart a quite big number of folks out there!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vyema kabisa mkuu ila hapo kwenye kunena kwa maandishi kwa experience yangu wengi wanatumia kalamu vizuri sana katika kuwasilisha mawazo yao
bahati mbaya sikuona hii quote mapema. Nadhani wengi humu wanachanganya shyness au lack of confidence na kua introvert. Ninavyofahamu mimi introverts hawapendi kusocialize iwe kwa maneno au kwa maandishi. Kama huwezi kuongea mbele ya watu ila unapenda kuchat, wewe sio introvert bali ni mtu mwenye aibu!
 
inawezekana kwa sababu fulani fulani. Mpaka umri huu, nimekutana na introvert mmoja tu. Pia nimekutana na watu kadhaa wenye aibu na low confidence hahaa!
Sidhani mkuu
Yaani kwamba huna confidence ya kuongea hata na mzazi wako.

Ni vile tu mtu hayupo comfortable kuongea ongea Sana halafu kuwa na rafiki Ni Kama mzigo hivi unataka kuwa mwenyewe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana. Mimi ni mkimya sana lakini nina confidence ya ajabu na sijawahi kushindwa kuzungumza kwenye kadamnasi!

Na nikizungumza kila mtu anashika mdomo kwa mshangao maana hawakutarajia!

People say i look weird and intimidating! They say i behave and talk like a robot!

I might look stupid and dumb. BUT HELL NO, I AIN'T ONE!

I am not bragging, but surely i outsmart a quite big number of folks out there!

Sent using Jamii Forums mobile app
huyu ndio King Zilla. I like you....nadhani nilishakuambiaga hili
 
Back
Top Bottom