Introverts Vs Relationship

Introverts Vs Relationship

Sio hawawezi ila wanakua hawako comfortable sana na mara nyingi inachukua muda mrefu kwa wao kuzoeana na wengine au kuinteract kirahisi ila wakishafanikiwa kukufahamu vizuri watakuwa comfortable sana na wewe. In short introverts are good at one to one communication hasa kwa watu wao wa karibu sana na kwenye mass ya watu wengi kiukweli wengi hawana confidence.
unamaanisha kwamba introverts hawawezi oral/verbal interactions pekee sio?
 
Sio hawawezi ila wanakua hawako comfortable sana na mara nyingi inachukua muda mrefu kwa wao kuzoeana na wengine au kuinteract kirahisi ila wakishafanikiwa kukufahamu vizuri watakuwa comfortable sana na wewe. In short introverts are good at one to one communication hasa kwa watu wao wa karibu sana na kwenye mass ya watu wengi kiukweli wengi hawana confidence.
Hapana. Mimi ni mkimya sana lakini nina confidence ya ajabu na sijawahi kushindwa kuzungumza kwenye kadamnasi!

Na nikizungumza kila mtu anashika mdomo kwa mshangao maana hawakutarajia!

People say i look weird and intimidating! They say i behave and talk like a robot!

I might look stupid and dumb. BUT I AIN'T ONE!

I am not bragging, but surely i outsmart a quite big number of folks out there!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom