Introverts Vs Relationship

Yamenifika hapa introvert tunaonewa sana! Kuna demu alikuwa mpaka ananifundisha kumuomba uchi😂😅
Alijua udhaifu wangu live to live siwezi ongea ila kwa sms dah! Nilikuwa namkalisha mpk ananipigia niseme hayo maneno niliyokuwa namuandikia!

Hapo ndo kazi ilipokuwa😅😅

Mtu naongea nae kwenye simu lkn Yale maneno hakuna!.

Nilipata tabu! Anajua kabisa nachokitaka ila omba yangu sasa ni tumaneno tuwili tu nimemaliza ila yeye anataka nianzie mbali Mara hivi Mara vile,Tena kwa kuongea!

Msiwe mnatufanyia hivi nyie wadada tueleweni tulivyo.. kizungumza wengine tabu kidogo,dodoso moja la pili linatosha.
Na nyinyi extrovert msiwe mnawajaza maneno hawa wadada mnatupa kazi kuja kuyapangua na vile kuongea mnatuzidi ni mtihani kwelikweli..
hahhaahhahhahahahha mi nikikuandikia text utasema hurulayne huyu hapa!
hamna kitu naweza kama digital friendship.
Physical majanga!
 
Kuna mahali niliwahi kuishi kwa miezi mitano, tunapishana na watu ndani ya nyumba lakini kamwe hawakuwahi kujua jina langu mpaka naondoka!

Walikuwa wananiita tu "we kaka". Baada ya hapo nayeyuka kama barafu! Kimyaaaa kama nimekufa!

Nilikuwa nanunua mavyakula ya kusindika na kukausha naweza kukaa ndani hata wiki mbili watu wasinione!

Nadhani nilivyoondoka walihisi mimi ni jini.

Sent using Jamii Forums mobile app
This reminds me kuna mahal tulipanga kabla ya kuhamia kwetu na mke wangu, hatutoki nje. C yy c mm, wengine wanatoka wanajuana, cc kama wakat wakutoka au kuingia tukikutana nao nje ndo salam tu. Za sahz imetoka, hawakumzoea wife wala mm. N bad enough kulikuwa na wapangaj wengi madem, mpaka tunaondoka kuna ambao hatujawahi hata salmiana. Sema ndo hvyo wengne wanaona mnajiskia ila ni ngumu kujimix, ni sisi tu ndani na movie au jion tunatoka for a walk na kurudi kagiza kameingia kama tukiwahi toka ofsin. Majirani wengine makelele, mziki mkubwa mara wanakaa nje vbarazan wanakunywa. Cc kama hatupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakupa pa
Mimi nipo kundi ganj sasa?

Ni muongeaji mzuri tu nikiamua kuomgea tena nina story hasa na mtu akinianza kuniongelesha atahisi rafiki kapata ila nikitoka hapo simtilii maanani tena yaani hata anaweza nitxt nisijibu kwa wakati akapiga cm nisipokee nakua sijisikii kuongea nae au kuchat nae!

Napenda kukaa ndani tena peke yangu naweza kukaa ndani hata siku tatu nisionekane nje! Nimesoma shule zote day school ila ht majirani walikua wanadhani niko boarding na sijawah kuchoka kukaa ndani.

Sina marafiki na i hate friends nawachekea juu juu tu ila sijawahi kuwaamini na wala sijawahi tendewa nao ubaya! Sipendi kuongozana na mtu km ushost yaan ht nilivyokua chuo ni nitoke room kwangu niingie class nitoe hi niweke earphone niingie netflix niamgslie movie km lecture hajaingia kimyaaa ila ukiniongelesha narespond kwa bashasha mok unaweza shangaa

Napenda kutoka out peke yangu nijinunulie kinywaji changu nisikilize mziki ila asije mtu kunipa company ananiharibia tu starehe ht km ananijua anisalimie tu apite aniache alone.

Am a girl ila nikimpenda mtu namwambia straight forward kua i like u sinaga aibu yaani na nikiwa na mahusiano my boyfrnd anakuaga anatake over almost ratiba yote ya maisha yng yaani ni mimi na yy sijui inakuagaje ht awe vp utashangaa tumestick together and life is all abt us inshort na yy automatic anapoteza marafiki anakua na mimi tu na sijawahi command hilo kwa mwanaume nilienae.

Am very confident hasa kwenye kujieleza pale itapotakiwa nifanye hivyo siogopi mtu wala watu eg. kwenye presentation ilikua lzm nipate extra points

Naweza nikacheka na ww nisijue ht jina lako nimesoma na baadhi ya watu miaka3 mitatu kozi moja darasa moja ila siwajui majina na wengine siwajui hata sura zao!

Nikipenda napenda haswaa na nakuaga km nina ka convicing power fulani hv..sifokeagi mwanaume wala kumuamrisha ila automatic anakua vile ninavyotaka awe and ina turn out kua healthy relationship ever.

Nina huruma mnoo..ni mwepesi kutoa msaada ila mgumu kukopesha hela yaani bora nikupe kidogo sababu siwezi kudai...naonekana km kauzu ila hakuna mtu ninaeumia emotionalyy km mimi.

Nina wivu wa mapenzi sijawahi ona yaani i want my man to be only mine nikinusa harufu ya usaliti nahisi km moyo unachemka kwa hasira I can even kill wallah personally nikipenda nimependa

Nina visasi yaani ukiniudhi kitu kikaniingia sawasawa lazima nitakulipizia tuuu hata baada ya miaka.

Naambiwaga ninaringa na nina dharau while najiona sina tabia hiyo sababu kutoka moyoni naheshimu kila mtu kwa class yake na sipendangi kumjudge mtu inshort niseme hua na mind my own business na mwanaume ambae niko nae tu.

Hata uniseme au unisengenye nakuona hv usitegemee nikareact na nikiamuaga kitu nimeamua sitaki mtu anibadilishe mawazo yangu nahisigi nilichoamua kiko sahihi maana natumiaga mda mref sana kufikia maamuzi.

Nipo kundi gani? Extrovert? Introvert? None of the above au wapi exactly?
Nani amekupa password yangu aiseeeh!
Kwanini umenielezea vizuri hivi!
Nilikuwa nabisha kuwa mimini introvert until nimesoma kitabu kimoja kuwahusu!
Nikagundua haya yote na nikahitimishai am extreme introvert.
Mi relationship zangu zote ,its either nitongoze au nikuruhusu mnooooo in my life nikiwa tayari nishahitimisha tht I want u.
My man is my king, ever!
Very loyal,yani ah sina haja ya kurudia!
Umeeeleza kilakitu nilivyo, as watu hufikiri nawajuaaaaa, au nimeazoeaaa, au niko nao close.
kUUUUUMBE, nna kadunia kangu hako naexist mimi, wanangu na mhusika, full stop!
 
Yaani unaweza kudhani una rafiki kumbe kichwani wala haupo...we hv our own world na sio km unamdharau au humpendi mtu basi tu yaani inatokea automatically
 
Aisee hii kitu ilinishinda jamani sijui vya kutembelea mtu mara ushost wa hapa na pale yaani ni ulinishinda kabisaaa! It reach a point yng hadi simu yangu ikiita najua huyu ni flani na most of the time km sio mama yangu ni my boyfriend basi! Akipiga mtu mwningine ni ana jambo la dharura mno nishasemwa hadi na ukoo kua sipogii watu simu sasa najiuliza napiga niwaambie nini na wote tu wazima Mungu wangu! Boyfrnd wng ilikua anaulizwa kila siku umewezaje kua na huyu mwanamke au unaishije ishije nae vipi mara wengine ulimpataje bila kujua ni mimi ndie niliemtamkia kua I like him sema kumbe na yy alikua ana interest na mm muda sema alikua ananiogopa tu kwa hiyo ilikua ni kumsukuma mlevi tu...mwnyw anakwambia sikuwahi kujua una upendo kiasi hiki and unarespect ur man like this sababu nje mtu anakuona km jeuri...sijui watu wanakuaga na perpeception gani yaani

Hahahhaha I wish wifi ako angesoma hii maana ana tabia kama zako na watu huuliza ninawezaje kuwa nae ni mwaka wa nne sasa anasema mimi ni mtu pekee anayeweza kupiga nae story wengine hawezi kabisa kashindwa yani

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kumbuka introvert ni tatizo(psychological effect), hivyo basis anapaswa kuwa na MTU ambaye ni well mentally ili aweze kum expose kwenye mazingira ambayo yataanza kumfanya achangamane na watu

Sent using Jamii Forums mobile app

Introvents sio tatizo ni human personality kama zilivyo personality nyingine ndio maana ni ngumu kusikia mtu kajitibu kutoka introvent kwenda extrovent

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mi ni introvert ambaye baada ya kugundua nilijaribu kuongeza tabia za extroverts kidogo hivyo huwa live nioiwa na wachache niliowazoea. Nikisoma wengi walioandika hapa asilimia kubwa hawana uelewa wa sifa za introvert kwa mfano wakiwalinganisha na madomo zege bila kujua kuwa introverts huanalyze sana situation kabla ya kuiamini hatua ya kuchukua yaani introverts hawakurupuki bila kujiridhisha katika maamuzi. Yapo mengi nimetaja 10% tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
when we arrive!
FB_IMG_1591514153280.jpeg
 
Mimi nipo kundi ganj sasa?

Ni muongeaji mzuri tu nikiamua kuomgea tena nina story hasa na mtu akinianza kuniongelesha atahisi rafiki kapata ila nikitoka hapo simtilii maanani tena yaani hata anaweza nitxt nisijibu kwa wakati akapiga cm nisipokee nakua sijisikii kuongea nae au kuchat nae!

Napenda kukaa ndani tena peke yangu naweza kukaa ndani hata siku tatu nisionekane nje! Nimesoma shule zote day school ila ht majirani walikua wanadhani niko boarding na sijawah kuchoka kukaa ndani.

Sina marafiki na i hate friends nawachekea juu juu tu ila sijawahi kuwaamini na wala sijawahi tendewa nao ubaya! Sipendi kuongozana na mtu km ushost yaan ht nilivyokua chuo ni nitoke room kwangu niingie class nitoe hi niweke earphone niingie netflix niamgslie movie km lecture hajaingia kimyaaa ila ukiniongelesha narespond kwa bashasha mok unaweza shangaa

Napenda kutoka out peke yangu nijinunulie kinywaji changu nisikilize mziki ila asije mtu kunipa company ananiharibia tu starehe ht km ananijua anisalimie tu apite aniache alone.

Am a girl ila nikimpenda mtu namwambia straight forward kua i like u sinaga aibu yaani na nikiwa na mahusiano my boyfrnd anakuaga anatake over almost ratiba yote ya maisha yng yaani ni mimi na yy sijui inakuagaje ht awe vp utashangaa tumestick together and life is all abt us inshort na yy automatic anapoteza marafiki anakua na mimi tu na sijawahi command hilo kwa mwanaume nilienae.

Am very confident hasa kwenye kujieleza pale itapotakiwa nifanye hivyo siogopi mtu wala watu eg. kwenye presentation ilikua lzm nipate extra points

Naweza nikacheka na ww nisijue ht jina lako nimesoma na baadhi ya watu miaka3 mitatu kozi moja darasa moja ila siwajui majina na wengine siwajui hata sura zao!

Nikipenda napenda haswaa na nakuaga km nina ka convicing power fulani hv..sifokeagi mwanaume wala kumuamrisha ila automatic anakua vile ninavyotaka awe and ina turn out kua healthy relationship ever.

Nina huruma mnoo..ni mwepesi kutoa msaada ila mgumu kukopesha hela yaani bora nikupe kidogo sababu siwezi kudai...naonekana km kauzu ila hakuna mtu ninaeumia emotionalyy km mimi.

Nina wivu wa mapenzi sijawahi ona yaani i want my man to be only mine nikinusa harufu ya usaliti nahisi km moyo unachemka kwa hasira I can even kill wallah personally nikipenda nimependa

Nina visasi yaani ukiniudhi kitu kikaniingia sawasawa lazima nitakulipizia tuuu hata baada ya miaka.

Naambiwaga ninaringa na nina dharau while najiona sina tabia hiyo sababu kutoka moyoni naheshimu kila mtu kwa class yake na sipendangi kumjudge mtu inshort niseme hua na mind my own business na mwanaume ambae niko nae tu.

Hata uniseme au unisengenye nakuona hv usitegemee nikareact na nikiamuaga kitu nimeamua sitaki mtu anibadilishe mawazo yangu nahisigi nilichoamua kiko sahihi maana natumiaga mda mref sana kufikia maamuzi.

Nipo kundi gani? Extrovert? Introvert? None of the above au wapi exactly?
Same boat, except am a guy. Ila kuna vtu vinawiana. Hasa kutoka solo n want to b alone akija mtu anavuruga furaha yako na utulivu wako.
 
Unajua kuna ile mwanamke akishakukubalia mahusiano Kuna jinsi inabidi umpange, unataka aweje, mambo gani hutaki kwake, mambo gani ayazingatie, mambo gani awe makini nayo (hasa ujanja wa wanaume ili wasije kumlaghai kizembe) Sasa mm hizo mambo nilikuwa siwez kwa kuongea..nilikuwa nachapa bonge la mbarua, nilikuwa naandika nondo kali sn aisee na madem walikuwa wanaelewa na wanazingatia kwa kiasi kikubwa.

Njoo kwenye kuongea Sasa...🤣🤣🤣🙌🙌
 
Unajua kuna ile mwanamke akishakukubalia mahusiano Kuna jinsi inabidi umpange, unataka aweje, mambo gani hutaki kwake, mambo gani ayazingatie, mambo gani awe makini nayo (hasa ujanja wa wanaume ili wasije kumlaghai kizembe) Sasa mm hizo mambo nilikuwa siwez kwa kuongea..nilikuwa nachapa bonge la mbarua, nilikuwa naandika nondo kali sn aisee na madem walikuwa wanaelewa na wanazingatia kwa kiasi kikubwa. Njoo kwenye kuongea Sasa...🤣🤣🤣🙌🙌

Back
Top Bottom