Introverts Vs Relationship

Kama ww ni extrovert kama Mimi jipige kifua sema Mimi ni extrovert,
Lissu ni mfano wa extrovert, k
 
Mimi kama introvert yaani!
87654321.jpg
 
Wakitaka kuanza mahusiano inawawia vigumu sana kuchukua hatua ya kwanza hasa kwenye kutongoza ni midomo zege!,Ni watu wenye hofu kuichukua hatua yoyote ile bila kuona usahihi wa yeye kuichukua hatua husika! Ni logics people so kufikia maamuzi kitu kimepangwa kikapangika!.

Wanakuwa disappointed ama wao wenyewe au watu waliomzunguka kutokana na ugumu walionaokuichukua hatua hiyo wengine huwaona kama si binadamu aliekamilika so husemwa vibaya sometime na yakimfikia hujisikia hovyo na huenda akaacha jambo husika.

Tabia pia za mhusika huenda zikamkwaza asichukue hatua ya kuamua kuingia kwenye mahusiano!

Let's say yeye ni mpole ila anatokea kumpenda mtu mwenye gubu,kukurukakara aisee hawapendi hivi.. wao wanapenda utulivu na maelewano.

Kutokuwa karibu na watu huwaleteleza kuwa na aibu,kutokujiamini mbele ya watu hasa jinsia iliyotofauti nae so hayo yanaweza mpatia ugumu ktk kutongoza n.k

Mkuu moja ya usuruhishi wa tatizo ni kulitambua tatizo introvert husubiri mahusiano ila pindi yafikapo huruka mbali😅

Akiweza tambua kuwa ili kupata ushirikiano na watu na kujiongezea kujiamini ni lazima ashiriki na watu hili litamfanya awazoee watu,maana kwanza introvert wana akili nyepesi ya kutambua na pia inaweza mrahisishia kupata mwenza humohumo kutokana na mazoea n.k

Nadedaga Lolo😂😅
Umeua mzee baba
 
Kuwa intro haina maana unakuwa domo zege ,lakini pia huwa ni wepesi kupotezea yaani mwanamke akizingua kidogo inaweza kula kwake mda wa kulilia mapenzi kubembeleza bembeleza wanawake hatuna na tunaonekana tuko serious saana na hatutaki mautani utani sijui kucheka cheka noo
Mfano mm naienjoy zaidi kufanya adventure kuliko kuhangaika na wanawake,yaani kiufupi huwa hatuna mda saana na wanawake na tunaonekana hatujalin hatujui kubembeleza nk
Nakazia
 
Nani kakupa pa

Nani amekupa password yangu aiseeeh!
Kwanini umenielezea vizuri hivi!
Nilikuwa nabisha kuwa mimini introvert until nimesoma kitabu kimoja kuwahusu!
Nikagundua haya yote na nikahitimishai am extreme introvert.
Mi relationship zangu zote ,its either nitongoze au nikuruhusu mnooooo in my life nikiwa tayari nishahitimisha tht I want u.
My man is my king, ever!
Very loyal,yani ah sina haja ya kurudia!
Umeeeleza kilakitu nilivyo, as watu hufikiri nawajuaaaaa, au nimeazoeaaa, au niko nao close.
kUUUUUMBE, nna kadunia kangu hako naexist mimi, wanangu na mhusika, full stop!
Mkuu, please recommend me that book.
 
Aisee hii kitu ilinishinda jamani sijui vya kutembelea mtu mara ushost wa hapa na pale yaani ni ulinishinda kabisaaa! It reach a point yng hadi simu yangu ikiita najua huyu ni flani na most of the time km sio mama yangu ni my boyfriend basi! Akipiga mtu mwningine ni ana jambo la dharura mno nishasemwa hadi na ukoo kua sipogii watu simu sasa najiuliza napiga niwaambie nini na wote tu wazima Mungu wangu! Boyfrnd wng ilikua anaulizwa kila siku umewezaje kua na huyu mwanamke au unaishije ishije nae vipi mara wengine ulimpataje bila kujua ni mimi ndie niliemtamkia kua I like him sema kumbe na yy alikua ana interest na mm muda sema alikua ananiogopa tu kwa hiyo ilikua ni kumsukuma mlevi tu...mwnyw anakwambia sikuwahi kujua una upendo kiasi hiki and unarespect ur man like this sababu nje mtu anakuona km jeuri...sijui watu wanakuaga na perpeception gani yaani
Yani wewe.
Mimi ni wale watu ambao aliye rafiki kwangu inakupasa anielewe mnoooo.
Maana:
Mi vya kutembeleana vilishanishinda, siji na usije kwangu na I don't hate you.
Wala sina ugomvi na wewe.
Uko salama , yes.
I know, na sikupigii Siku mara kwa mara and I do care.
Hutafatana na mimi here and there, na bado wewe ni rafiki nakupenda tu vya kutosha.

I seeeh!
Ahsante kwa kuniambia siko peke yangu.
 
So because I am the kind of person that spends almost all of my time alone, many people confuse me as an introvert once they get to know me they get puzzled and assume I must be a very proud person that doesn't like to associate with others, but that is not true, I really like to spend time alone or with a good company that understands me well, the kind of company that we are fit for each other otherwise I would rather stay alone.

So I remember one day I uploaded a status on my profile and this fellow classmate came across it and she was surprised by the energy and enthusiasm I had, and how I was hyping my friends, so she took the matter into her own hand and decided to text me explaining how she didn't believe that the person on the video could be me.

So I told her I really admire your courage because you have sent me a message I am going to call you and discuss it, she laughed and send some emojis, and then she asked me can you really talk? Because I see you as a quiet person who is a little bit shy although I am quite talkative I don't know what exactly we are going to talk about on the phone, it's really going to be a very awkward conversation but I am looking forward to talking with you on the phone.

After hearing these words, I said enough I decided that I am going to do something about it, damn!! this girl must come in contact with the wild side of me at this moment I had the very clear intention of seducing this girl and not only seducing her I was going to make her see the playful and Casanova side of me and so I did it let me save some details for later.
 
Yai
 
Back
Top Bottom