Introverts Vs Relationship

Introverts Vs Relationship

Sasa kama huyu niliye nae mpaka outing sehemu gani twende anapanga mpaka cha kuvaa na kula mi nitatoa hela tu yaani mimi ni mpenzi mtazamaji na ananijua napenda nin na nikichukia anajua so ni anajiongeza sana coz kuna muda nakuwaga kimya sijisikii kuongea na mtu atakuja atakaa anakuangalia tu mpaka utakapoona kama unamtesa hivi ndo unamwongelesha kidogo na kumtania hapo ndo umefungulia maongezi😁😁

ila introverts kuachika ni nje nje coz mawasiliano ni hafifu waweza msalimia mpenzi afu ndo ukaishia hapo baada ya salama mpaka kesho so unaonekana ka hueleweki hivi au haujali au uko selfish sana
Na kwa taarifa yako ,we dont care alot kwenye mahusiano,we can enjoy on our own life style.Uache au usiache utajua mwenyew,mfano mm huwa namwambia mke wangu asitegemee kufanya vituko eti akasepa kwao mm nitamfuata kumbembeleza,never na ukienda usitegemee utaomba msamaha utapokelewa haipo hiyo,likewise kwenye madem wa siku zote hatujui kuweka kambi kwa mwanamke hiyo haipo
 
Kivipi mimi ni kutoka kwa mtazamo wangu
Yaani unadate na mtu hapendi kusocialize, outing hataki ,

Itabidi umuelewe na kumchukulia hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Inner core ya hizo outings ni kutaka kujionesha kwa mashost nk sasa sie hatunaga hiyo life style,nijionyeshe ili iwaje,tuna kawaida ya kuficha character zetu na hatupendi sifa labda appreciation tuu
 
Hivi unawezaje kumtambua huyu mtu ni introvert au ni Extrovert ??.
[/QUOTE
Mbona simple tu mkuu ngoja nikutajie sifa zangu mimi ni introvert na kinyume cha sifa ntakazozitaja uyo ni extrovert
1.wakimya, hawapendi kuongea sana wanaongea kidogo kwa kudonoa
2.hawapendi kuchangamana na watu sana, watu uwaita antisocial
3.they are greater thinkers for example bill gates, mark zuckerburg, bob marley, celline dion
4.wanasumbuliwa na perfectionism
5.muda mwingi upata nguvu wanapokuwa peke yao na uishiwa nguvu wanapokuwa kwenye kundi la watu
 
Inner core ya hizo outings ni kutaka kujionesha kwa mashost nk sasa sie hatunaga hiyo life style,nijionyeshe ili iwaje,tuna kawaida ya kuficha character zetu na hatupendi sifa labda appreciation tuu
Sio kujionesha yaani kwa marafiki
Inafaa mara moja mnatoka out
 
Utafute introvert mwenzio bila hivyo itakuwa ni mtifuano tu huko kwenye relationship

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutifuana kivipi wakati hatutaki shida? si unapotezea ukiona huwezi vumilia? Binafsi naona wanaume ambao sio intro wanapata tabu sana kwa kuwa driven na wanawake na kulia lia kila mda na ndo hao wanajinyonga lakini sio sisi intros,yaani mwanamke anikosee afu nimbembeleze? haijawah tokea..hata tabia za kubembelezana na kudeka deka hatupendi kabisa
Sehemu nayoishi mm huwa wananiogopa maana mm ni salamu miendo/ndani sina stor sijui na wanawake au washkaji wa hovyo hovyo hapana,tuko selective na marafiki mara nyingi wanakuwa very few
Aina hii ya maisha imeniepusha na ugomvi na mabalaa mengi wanayopata watu wanaopenda kuchangamana,kugombana kwao ni nje nje nk nk
 
Mimi ni extremly introvert, nilioa extrovert ndoa ya miaka 8 haikudumu.
Pole mkuu but mm nachojua ndoa kwetu ni kuzaa watoto ,mabo ya kutiana yatategemea saana mwanamke kama hakukwazi maana kama kuna mizozo hiyo mood huwa haipo kabisaa,maana mda mwingi unaona kama anakosea sasa kuweza kuchukulia hali hiyo huwa ngumu maana sifa kubwa ya akina sisi ni kutafuta perfections kitu ambacho ni kigumu
Binafsi naweza kaa hata zaidi ya mwez nalala na mwanamke kitanda kimoja lakini sitaki mapenzi hata akinilazimisha ctaki ,the only way anatakiwa ajitahidi asiniudhi tuu tofauti na hapo ruksa wakinisaidia ila tu nisijue
 
Introverts wa JF mnachekesha sana. Wengi wenu hamjui hata maana ya introverts. In short, introverts find it hard to socialize. Sasa unakuta mtu yuko humu JF as an active member anaeanzisha threads na kuchangia kwenye mijadala mbali mbali alafu bado anajiita introvert. Mnachekesha!
Wewe ndio hujui,ku socialize kwa live ndo huwa tabu,mitandao ya kijamii ni mizuri sana kwa intros,hujasikia hapo kwenye kuandika watu wako vizuri lakini kwenye kusimama public ndio tatizo?
 
Hizo fanyeni wenyew tukitoka out haina uhusiano na kwenda eti kwa marafiki kwani ndio maana ya out? Tena siku hizi smartphone zimekuja yaani mtandao ndio rafiki yetu mkuu kama hivi yaani..
Aisee may be hujanielewa yaani
Nilisema kutoka na introvert ni kazi maana muda mwingine hapendi outing hizi au social gathering

Itabidi introvert atoke na mwenzie introvert
Inahitaji uvumilivu pia sijaongelea kuhusu marafiki hapa.

Napenda outing za couple tu na sio kujichanganya na watu
 
Hizo mbili za mwisho nakubaliana la mini za kwanza hapana. Mimi ni introvert lakini mpaka sasa nimeshachakata K 170+

God save us
Hata mm nimemkatalia ishu ya kutongoza haina uhusiano sana,personally kila siku natokea mwanamkeila muendelezo wake ndo huwa mgumu kwa maana focus yetu kubwa inakuwa kusoma tabia za mtu
 
wewe ndo huwajui introverts sasa!

introverts wanaongea sana via words, introverts wapo social sana kwenye hii mitandao na wana uwezo mzur wakuji defend au kupresent mada kwa maandishi...

wanashindwa kusocilize ukikutana nao in person, lakin kama hiv jf unaona maandishi tu alafu na fake id apa ndo sehemu za introverts kujiachia akijua akuna anaemjua na akuna anaemuona
Tatizo binamu yangu amekariri definition. Enzi hilo neno linatafsiriwa hakukuwa na mitandao kama jamiiforums, ingekuwepo wakati huo bila shaka wangefafanua
 
Ngoja niwapishe ndugu zangu ma introvert. Nisiwaharibie uzi wenu. Binamu Khantwe, wewe ni domo zege. Nitakufundisha kuchangamka hahaa.
Njoo binamu unichangamshe kama utaweza usisahau kinywaji
 
Aisee may be hujanielewa yaani
Nilisema kutoka na introvert ni kazi maana muda mwingine hapendi outing hizi au social gathering

Itabidi introvert atoke na mwenzie introvert
Inahitaji uvumilivu pia sijaongelea kuhusu marafiki hapa.

Napenda outing za couple tu na sio kujichanganya na watu
Mfano mm mambo ya sherehe sijui sikuu mara birthday yaani sipendi,ukiomba mchango nitachangia na naweza nisihudhurie, kuangalia movie,ila ijadala ya kuumiza kichwa ndo nataka..hivyo hivyo mambo ya outings naona ni cheap things na unnecessary na bahati mbaya sinywi pombe wala spirits na sio mlokole wala mtu wa dini .Yaani mm humu jf ndio sehemu yangu na simu ni rafiki yangu mkubwa,mara kadhaa nazinguana na wife kisa niko na simu mda wote sipigi nae story maana story za kusimulia siwezi
 
Introverts wa JF mnachekesha sana. Wengi wenu hamjui hata maana ya introverts. In short, introverts find it hard to socialize. Sasa unakuta mtu yuko humu JF as an active member anaeanzisha threads na kuchangia kwenye mijadala mbali mbali alafu bado anajiita introvert. Mnachekesha!
We ndo hauelewi unaambiwa sio waongeaji ni wakimya sana ila uexpress vitu vyao kwa kuandika.
 
That's who you are

And its okay to be that way

Back
Top Bottom