Munuo
Member
- Jul 30, 2019
- 98
- 128
HahahahaUnajua kuna ile mwanamke akishakukubalia mahusiano Kuna jinsi inabidi umpange, unataka aweje, mambo gani hutaki kwake, mambo gani ayazingatie, mambo gani awe makini nayo (hasa ujanja wa wanaume ili wasije kumlaghai kizembe) Sasa mm hizo mambo nilikuwa siwez kwa kuongea..nilikuwa nachapa bonge la mbarua, nilikuwa naandika nondo kali sn aisee na madem walikuwa wanaelewa na wanazingatia kwa kiasi kikubwa.
Njoo kwenye kuongea Sasa...
Umefikia wapi sasaivi kwenye mahusiano mkuu