Introverts Vs Relationship

Introverts Vs Relationship

Ni ngumu Sana boss.

Mfano mtu aliyezoea kukaa peke yake ukimpeleka ajichanganye na watu utakuwa unamtesa tu.



Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, nikuweza kukubali mazingira, mimi sasa nakaa na watu kwa kutaka sio kama nilivyokuwa nakua, na kila mtu anajua nimebadilika....

Nimekuwa nikikaa peke yangu sana na kuwa mkiya, waliokuwa wananijua hawa....
inawezekana
 
hapana, nikuweza kukubali mazingira, mimi sasa nakaa na watu kwa kutaka sio kama nilivyokuwa nakua, na kila mtu anajua nimebadilika....
nimekuwa nikikaa peke yangu sana na kuwa mkiya, waliokuwa wananijua hawa....
inawezekana
Aisee
Mimi kunipeleka nijichanganye na watu Ni kama kunionea tu

Yaani Ni ngumu Sana,unakuta mtu anapiga simu yaani sio kwamba sipendi kupokea,Basi tu siwi comfortable kuongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KENZY, Dah, mimi kabisa. Kuomba uchi tabu sana, nashukuru nilioa. Kutongoza mimi shida ilikuwa, na nlikuwa na bahati ya kupendwa sana. Kumalizia sasa mkuu. Shughuli, waliokuwa wananitongoza au ku force kuingia kwenye maisha yangu walinipata. Halafu upole na ukarimu demu anachukuia tayari mna date, unajkuta una madem kama wote ila wa kweli kweli mmoja au wawili. Kazi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is nice, mm nlishindwa baba. Tunaingia mcty mwanzo mpaka mwisho wanamjua, mshasmama kila baada ya atua tatu. Ila ana roho nzuri na ni life of the party. Nilijua sehem sikuwahi
😁😁😁 wewe uliogopa tu afu unaweza kukuta ni mwaminifu kwako ila anajulikana kwa kuwa ni charming and kind...ungemchunguza kabla ya kumshindwa nadhani unamumic sana tu na kakuachia kumbukumbu

Hata ukiwa introverts sana usijiwekee limit kwamba hiki hufanyi na huwezi kwenda sehemu fulani kama club au pub hapana cha msingi upate wa kwenda nae uta enjoy maisha
 
Aisee
Mimi kunipeleka nijichanganye na watu Ni kama kunionea tu

Yaani Ni ngumu Sana,unakuta mtu anapiga simu yaani sio kwamba sipendi kupokea,Basi tu siwi comfortable kuongea

Sent using Jamii Forums mobile app
Haah! Mi nasubiri ikatike ni txt. Najiunga dk wiki kila ikiisha na recharge ila stumii sana, sijuhiz najitahid kidogo kupiga piga. Wife ndo kanizoesha piga simu baba. Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Eti unatia ushairi mpaka mtoto anakolea

Sent using Jamii Forums mobile app
😂
Yale maneno huwa sijui yanabubujikia wapi!! Najikuta naandika mpaka nikisoma nasema dah! Hivi ni mimi au nimefanya korabo na mzimu wa kiswahili 😂
Ndio maana alikuwa mpaka anaona haitoshi huyu mshairi ngoja nimpigie abwabwaje hayo mashairi yake😅😅

Hii iliniponza hata shuleni kwenye essay nilikuwa mkali ticha akajua hii njemba inajua kujieleza.. siku ya kwanza kwenye debate nipo first kabisa dah! Niliharibu nilikuwa natetemeka maneno yakapotea yote nikawa namuangalia time keeper muda uishe nisepe😂😂
Alikuwa mpaka baadhi ya wanafunzi anawaambia wanifuate niwafundishe kuandika essay!!
Ila la debate kidogo nilianza kuimprove kuna siku niliflow nikapata tusifa kedekede ili wangejua nilivyokuwa nambwera nilivyosimama mbele yao tena naangaliwa na macho ya watoto wazuri.. unahisi kuzimia zimia😂

Nilishawahi kuandika shairi la kutunga ilikuwa test ya kiswahili dah! Hawakuamini kama ni mimi wengine walikataa kabisa wakati tulikuwa wote kwenye test😅
 
wewe uliogopa tu afu unaweza kukuta ni mwaminifu kwako ila anajulikana kwa kuwa ni charming and kind...ungemchunguza kabla ya kumshindwa nadhani unamumic sana tu na kakuachia kumbukumbu

Hata ukiwa introverts sana usijiwekee limit kwamba hiki hufanyi na huwezi kwenda sehemu fulani kama club au pub hapana cha msingi upate wa kwenda nae uta enjoy maisha
Kaka, najaribu sikuhizi. Tunapanga na wife tunaenda, nashukuru tunaelewana. Niliowa mapema sana. There was this once tulienda club tuli enjoy ndo nkaanza kupenda kwenda, sema sasa nimemzoea yy, nkienda mwenyewe. Hata nususaa haichukui, hata wakija washkaji naona nawa disappoint ila wao story zina noga naweza sepa zangu na kwenda sehem yenye music ila tulivu. Sema ts true hakuwa na ujinga ujinga sema basi nliona siwez tu kuwa nae. Kuna siku baada ya kuoa tulikutana akasema, alijua kabisa ningemuoa. Eti tuli feli wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yale maneno huwa sijui yanabubujikia wapi!! Najikuta naandika mpaka nikisoma nasema dah! Hivi ni mimi au nimefanya korabo na mzimu wa kiswahili
Ndio maana alikuwa mpaka anaona haitoshi huyu mshairi ngoja nimpigie abwabwaje hayo mashairi yake

Hii iliniponza hata shuleni kwenye essay nilikuwa mkali ticha akajua hii njemba inajua kujieleza.. siku ya kwanza kwenye debate nipo first kabisa dah! Niliharibu nilikuwa natetemeka maneno yakapotea yote nikawa namuangalia time keeper muda uishe nisepe
Alikuwa mpaka baadhi ya wanafunzi anawaambia wanifuate niwafundishe kuandika essay!!
Ila la debate kidogo nilianza kuimprove kuna siku niliflow nikapata tusifa kedekede ili wangejua nilivyokuwa nambwera nilivyosimama mbele yao tena naangaliwa na macho ya watoto wazuri.. unahisi kuzimia zimia

Nilishawahi kuandika shairi la kutunga ilikuwa test ya kiswahili dah! Hawakuamini kama ni mimi wengine walikataa kabisa wakati tulikuwa wote kwenye test
Mbavu zangu Mimi
Mkuu embu acha kunichekesha

Mkuu umenikumbusha mbali,kuna somo fulani kipindi Niko olevel niliweka rekodi ya kuliongoza.nilikuwa nimenyooka nalo hilo tu..mwalimu akija class anaanza kupitisha karatasi yangu,anaifunua anasema wote mtazame

Kimbembe siku akaniinua niongee.. Mama yangu picha likaanzia hapo,Sasa huwa naongea neno mojamoja yaani naongea taratibu mno halafu Kama nataka kulia hivi.
Nilichekesha watu,
Sijawahi fanya michezo ya kwenda kwenye debate..heri waninyonge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha true, mm na yy wote intro. Ila tunajuana. Nikaa kimya sana, ananichokoza kwa kunisemesha au kunigusa. Najua anajaribu hakikisha kama sijakasirika, na mm akikaa kimya na mwangalia tu uso namjua. Ila kazi kama mtu hawezi tuelewa na kweli unaona kabisa unamtesa na kumpangia mtu. Mwenzio anataka akienda out awe na watu wake, unaenjoy tu kiwepo mahali pale pawe na watu au la. Club unaweza enda hata kama wako watu wachache, unaenjoy music na kuwa tipsy kidogo ila bila bugudha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi inafaa introvert atoke na introvert mwenzie vinginevyo itakuwa shida tu
 
Haah! Mi nasubiri ikatike ni txt. Najiunga dk wiki kila ikiisha na recharge ila stumii sana, sijuhiz najitahid kidogo kupiga piga. Wife ndo kanizoesha piga simu baba. Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe huwa nasubiri ikate.
Tena huwa situmi sms muda huo huo maana nahofia itapigwa Tena...

Huwa naunga kifurushi naishia kutumia MBs tu,nikitumia dakika basi nimewapigia wazazi.
Kwa sasa Niko nyumbani dk zangu huwa zinaisha tu muda wake situmii hata sekunde.

Kuna messages hizi za kuchat chat tu huwa sijibu..labda mtu awe na shida..lakini story,sijui umbea a wapi.
Hadi Sasa simu yangu Ina normal text Kama Mia,za kuforwardiwa na nyingine za Mambo
Nikivuta pale juu nikaona ya kuforward hata sigangaiki kufungua.
Nina mwezi mzima sijazifungua labda nitajaribu kuzijibu weekend ijayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Am introvert and proud to be there...father and mother before me are introvert too (though am not sure law of inheritance apply here)....yaani hata tukiwa bar utaona meza zima wanaongea but not me...na hata nikilewa sio muongeaji ni muziki na kulala...dating extroverted one ni ngumu alwayz they think we fake ..they will wrong u and u reply normal like nothing happened (nice guy) we are th complication to them.. promise myself gonna marry fellow introvert but i know how hard it can be kuanzia kumpata hadi kumkeep

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbavu zangu Mimi
Mkuu embu acha kunichekesha

Mkuu umenikumbusha mbali,kuna somo fulani kipindi Niko olevel niliweka rekodi ya kuliongoza.nilikuwa nimenyooka nalo hilo tu..mwalimu akija class anaanza kupitisha karatasi yangu,anaifunua anasema wote mtazame

Kimbembe siku akaniinua niongee.. Mama yangu picha likaanzia hapo,Sasa huwa naongea neno mojamoja yaani naongea taratibu mno halafu Kama nataka kulia hivi.
Nilichekesha watu,
Sijawahi fanya michezo ya kwenda kwenye debate..heri waninyonge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha..
Kwani nani alikuwa anapenda debate..?

Kuna siku nikaweka hudhuru ya makusudi ticha akaona isiwe tabu jina langu likawekwa mwishoni kabisa nikijua limetolewa halafu kwenye hudhuru sikwenda ila akili ilinicheza kwamba bado nipo kwenye listi ya waongeaji nikawa nimejiandaa kabisa😂

Nilivyoitwa tu watu waliangua vicheko😂
Ile ilikuwa ni adhabu sema kweli dah!

Nikienda mbele kutizama watu ni zoezi gumu ila nikae nyuma kelele nyingi kweli..

Itabidi watuzoee tu hakuna namna..
 
Haha..
Kwani nani alikuwa anapenda debate..?
Kuna siku nikaweka hudhuru ya makusudi ticha akaona isiwe tabu jina langu likawekwa mwishoni kabisa nikijua limetolewa halafu kwenye hudhuru sikwenda ila akili ilinicheza kwamba bado nipo kwenye listi ya waongeaji nikawa nimejiandaa kabisa
Nilivyoitwa tu watu waliangua vicheko
Ile ilikuwa ni adhabu sema kweli dah!
Nikienda mbele kutizama watu ni zoezi gumu ila nikae nyuma kelele nyingi kweli..

Itabidi watuzoee tu hakuna namna..
Mimi nilikuwa muandikaji ubaoni maarufu
Mwalimu akija anapitiliza ananipa notes na chalk .

Sasa kuna wahuni walitumia huo mwanya kunitesa,makusudi anauliza hivi pale umeandikaje nisomee
Yaani nilikuwa nikiongea darasa Zima vicheko. Kwanza watu wanakaa kunisikiliza.

Na mwalimu alikuwa akija darasani haishi kunipoint kujibu maswali. Nilikuwa nahisi kuzimia hivi.

Nilikuwa na deskmate wangu ndio alikuwa rafiki yangu,huyo ukinikuta naye huwezi amini Kama Ni mimi nilikuwa naongea naye hatari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom