tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,310
ngoja nimfuate chitchat nikamachanie hukohuko ndo alikojificha huko.
Kuna sumu kali ni balaaa, watu wamejivua magamba ya #teambazazi na kujivika ngozi ya #teamrafiki , chakushangaza sumu waliyo nayo ni ile ile.
Mmedanganywa na nini? charminglady, Lady niece, Passion Lady, Honey Faith, tinna cute, Heaven on Earth, miss neddy, Munkari, na wengineo.
#TeamBazazi ni timu dume. Wake zetu ni #TeamRafiki . Baba Hakimbii majukumu bali anayakabili. Baba hajitambulishi bali majukuzu humtambulisha.
Tuko tayari kulea mimba yoyote ya TEAMRafiki.
KakaKiiza, Rogie, mwekundu, Nicas Mtei, Vin Diesel, Kipaji Halisi, Kaizer.
Naomba katiba ya Tem rafiki cousin!!!Ili nitakapojiunga nijue na masharti na vigezo.Aise binamu zangu nimewamiss kuanzia Chocs, Paloma, Passion Lady, Blaki Womani, Madame B Zion Daughter, Zinduna, ladyfurahia, mwallu, Preta, Lady doctor, eveyn salt, Heaven on Earth, gfsonwin, sweetlady, yaani sijui mmepotelea wapi
karibu sana binamu ujiunge na #teamrafiki
Sijaona sura ya Mr Rocky hapa au majukumu yamekua mengi kiupande wake? Eti Passion Lady umemuona sehem huyu mtu?
Mkuu utafiti majukumu yamekuwa mengi sana na najaribu kuyapunguza kadri niwezavyo ila nipo mkuu
Msalimie sana Passion Lady
cc Mndengereko, Tized, Ntuzu, sungura1980
Nimewasikia mkuu utafiti na daima kumbuka mti wenye matunda matamu ndio unaopigwa mawe hayo yasikuumize mkuu
Mkuu utafiti majukumu yamekuwa mengi sana na najaribu kuyapunguza kadri niwezavyo ila nipo mkuu
Msalimie sana Passion Lady
cc Mndengereko, Tized, Ntuzu, sungura1980
Sasa naamini #teamrafiki inaelekea kuchukua jamhuri hii siku uchaguzi mkuu ukifanyika, hawa wa #bazazi kumbe walikua wanachukua hela za wananchi na kujikusanyia wao,
Cc mwekundu Asprin
Bazazi Ni missing plane!
Sasa naamini #teamrafiki inaelekea kuchukua jamhuri hii siku uchaguzi mkuu ukifanyika, hawa wa #bazazi kumbe walikua wanachukua hela za wananchi na kujikusanyia wao,
Cc mwekundu Asprin
mke wangu unaakili sana ,hapo ndo mwanzo wa matatizo bora kuwa tu #Bazazi
#TeamBazazi ni timu dume. Wake zetu ni #TeamRafiki . Baba Hakimbii majukumu bali anayakabili. Baba hajitambulishi bali majukuzu humtambulisha.
Tuko tayari kulea mimba yoyote ya TEAMRafiki.
KakaKiiza, Rogie, mwekundu, Nicas Mtei, Vin Diesel, Kipaji Halisi, Kaizer.
Aise binamu zangu nimewamiss kuanzia Chocs, Paloma, Passion Lady, Blaki Womani, Madame B Zion Daughter, Zinduna, ladyfurahia, mwallu, Preta, Lady doctor, eveyn salt, Heaven on Earth, gfsonwin, sweetlady, yaani sijui mmepotelea wapi
karibu sana binamu ujiunge na [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamrafiki]#teamrafiki [/URL]
Sijaona sura ya Mr Rocky hapa au majukumu yamekua mengi kiupande wake? Eti Passion Lady umemuona sehem huyu mtu?